talnam
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,451
- 2,830
Ya leo itakua ni fireee
Sisi wa kitonga tunasubiria kesho[emoji3]
Ila hii drama kali
Yule Queen Dowager kaiweza roho mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya leo itakua ni fireee
Vile vindevu ya king na wale ministers wake huwa natamani nishike mkasi nivinyoe maana vimechanwa vizuri😂😂😂😂😂😂Sisi wa kitonga tunasubiria kesho[emoji3]
Ila hii drama kali
Yule Queen Dowager kaiweza roho mbaya
dowager huwa ana roho nzuri kwenye family dramas. Ndo maana humu nainjoi vituko vyake[emoji23][emoji23][emoji23]hadi muda sijampata wa kumchukia mule
Vile vindevu ya king na wale ministers wake huwa natamani nishike mkasi nivinyoe maana vimechanwa vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema huyo Bibi akichezaga Mama kwenye baadhi ya drama utampenda kama A thousand days promise na My father is strange,kuna hotel king mule ndani alicheza kama Mama wa Lee Dong Wook halafu hawajuani kama ni Mama na Mtoto halafu wakawa na bonge la bifu.Ndio anakuwaga na roho nzuri si ndo yule kwenye hospitalvplaylist pia
Yani ameifungua Ep 09 kikaksi kha
Hahahaha umenotice kuna siku zinakua kama zimepakwa superblack zimekoaa
Ndio anakuwaga na roho nzuri si ndo yule kwenye hospitalvplaylist pia
Yani ameifungua Ep 09 kikaksi kha
Hahahaha umenotice kuna siku zinakua kama zimepakwa superblack zimekoaa
Hawa si walipigwa sumu hapaAiseeh kwenye Kdrama kuna comedy zinafurahisha sana.[emoji23]
Hapa hawa commoners walikuta msosi ambao ulibakizwa na nobles, sasa kutokana na msosi kunukia vizuri tofauti na waliyozeo, jamaa mmoja kati ya hao wawili akasema "No wonder watu huwa wanasema haja kubwa za nobles huwa zinanukia vizuri"
Mwenzake akachagiza kwa kusema kama inavyoonekana kwenye picha[emoji23]View attachment 2408283
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema huyo Bibi akichezaga Mama kwenye baadhi ya drama utampenda kama A thousand days promise na My father is strange,kuna hotel king mule ndani alicheza kama Mama wa Lee Dong Wook halafu hawajuani kama ni Mama na Mtoto halafu wakawa na bonge la bifu.
Kuna Babel mule ndani ndio ana roho mbaya si kitoto
utakapofika muda wangu wa kukutembelea kwa waziri mkuu tafadhali niambie,😂😂😂😂😂😂😂dae bana
movie za korea hazipaswi kuigwa kwa tendo lolote lile, hii ni kwa sababu matendo wanayohubiri hayaendeni na tabia za kimaumbile za mwanadamu.Ila ukitizama romantic series za kikorea unaweza kuhisi we hujawahi kupendwa maisha yako yote
Hii love in contract ile episode ya mwisho wanavyotizama pale jamani hadi unajiuliza na wenzangu mnatizamanaga vilevile au wakitizamana wakorea inatosha?🤣🤣🤣🤣🤣🤣wajinga wale wanajua kutufanya tuone hatujui kupendana!
huenda amekusudia Cain And Abel drama ndio mara ya kwanza kumuona huyo mama.Babel ndo yupi?
uhusika wa filamu za kihindi ndio mara chache kubadilika ila kwa wakorea wapo tofauti kabisa.Ndio huyo huyo
utakapofika muda wangu wa kukutembelea kwa waziri mkuu tafadhali niambie,
mtongozo wangu utachukua masaa matano kama movie ya chakorii
Sijui huwa ni mimi tu au wote? Series ikitoka halafu ikakaa zaidi ya miaka 2 ndo ukatoka muendelezo huwa nakuwa nimeshasahau sehemu nyingi za sehemu ya kwanza kwahiyo nakuosa muunganiko wa story.
Sijui huwa ni mimi tu au wote? Series ikitoka halafu ikakaa zaidi ya miaka 2 ndo ukatoka muendelezo huwa nakuwa nimeshasahau sehemu nyingi za sehemu ya kwanza kwahiyo nakuosa muunganiko wa story.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui huwa ni mimi tu au wote? Series ikitoka halafu ikakaa zaidi ya miaka 2 ndo ukatoka muendelezo huwa nakuwa nimeshasahau sehemu nyingi za sehemu ya kwanza kwahiyo nakuosa muunganiko wa story.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu msaada naomba kufahamu jina la hii movie
Wakuu msaada naomba kufahamu jina la hii movie