Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

msaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako

ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
 
1. Six flying dragons: moto wa giltami, libanji, na yule demu + ukatili, ubakaji, hatari sana

2. The Great queen: stori ya bidam na doekman

3. Chimera: yule muuaji kumjua ilihitajika akili ya ziada, Chemisty iliyotumika sio ya kitoto[emoji2] ule ujumbe wa biblia aliokua anawatumia adui zake

4:Kingdom: wale zombi ni shida

5: IRIS
 
msaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako

ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
Ingekuwa drama peke yake ningeandika Ila maelezo siwezi kwa kweli
 
msaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako

ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
Sema nimeangalia nyingi hadi zinanitoka hadi nashindwa kuelezwa sababu ila kuna historical drama ile ya Jung Il Woo Haechi ina moto sana second male lead ni machachari nilimkubali sana pia zile politics zake.

Ruler Master Of The Mask nadhani utakuwa ushaiona balaa lake,aliyenivutia zaidi mule nj Yoon So Hee japo hakuwa main female lead nilimpenda sana alivyokuwa anajitoa sana kwa Crown Prince hadi kuja kujitoa sacrifice kwa ajili yake,japo wengi walimchukia kwa kuwa anatoka himaya ya Daemok ila mimi nilikuwa tofauti nao.

Forest-romantic drama hii ya Park Hae Jin na Jo Bo Ah kama unavyojua drama nyingi huwa main.leads huanza na love-hate relationship hapa nilidata now hawa wawili uhusika wao.

When My Love Blooms love story hii kacheza Yoo Ji Tae na Lee Bo Young na story yao inaanzia miaka mingi nyuma teenage versions zao zilinivutiwa walicheza Park Jinyoung jr na Jeon So Nee.

Temperature Of Love-Mimi napenda sana drama za Older Woman-Younger Man romance sasa hii ndio kwake ukizingatia female lead wake Seo Hyun Jin namzimia sana yupo na Yang Se Jong.

Encounter-Noona-Dongsaeng romance nyingine hii sihitaji kueleza sana Song Hye Kyo na Park Bo Gum lazima wakuwe goosebumps
 
Crown prince?
1668688203155.png
 
msaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako

ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani

Yaani zote au za mwaka huu[emoji848]
Hii task sasaaa
 
Wakorea kwa vituko wapo vizuri..Ndani ya cheer up. Jamaa kampenda pacha wa group met wake siku ya kwanza tu kumuona kwenye gathering akaomba na namba akapewa kilaini. Verse za kuomba namba ya simu
Screenshot_20221117-174123_2.jpg
Baada ya kupewa binti akaingia kwenye taksi. Jamaa kwa furaha akaanza kuisave namba,akatokea pacha mtu akamwambia hio ni namba ya Baba yao😂😂😂😂😂😂
Screenshot_20221117-174025_1.jpg
 
Six flying dragons: moto wa giltami, libanji, na yule demu + ukatili, ubakaji, hatari sana
kwanza nikushukuru kwa mchango wako......
hii nilishaiangalia na ndio ilikuwa drama ya kwanza kuiangalia inayozungumzia harakati za kuanguka kwa goryeo na kuzaliwa kwa joseon lakini haikunivutia (simaanishi ya kwamba ni mbaya).
nilivutiwa zaidi na jung do jeon drama, labda ni kwa sababu ilijikita zaidi na historia ya ukweli.

The Great queen: stori ya bidam na doekman
hii nilianza kuiangalia kwenye episode za 30 ila leo kwa kuipendekeza kwako imenibidi nitafute episodes za mwanzoni ili niweze kuifahamu vizuri simulizi yake.
nilibahatika kuangalia kings dream (dream of emperor drama), hadithi yake pia ilimzungumzia queen seondeok na utawala wake mpaka kuishia kwa mtoto wa kim chunchu.
ahsante kwa kunikumbushia kiporo changu.
Chimera: yule muuaji kumjua ilihitajika akili ya ziada, Chemisty iliyotumika sio ya kitoto
emoji2.png
ule ujumbe wa biblia aliokua anawatumia adui zake
maisha ya uigizaji kwa park hae soo na msemo wa vumilia muda wako utafika,
kabla ya kuitafuta hii itabidi kwanza nirudiane na prison playbook drama, nataka nifute dhambi ya kuacha kuiangalia hiyo drama kwa sababu ya ugonjwa wa kumchukia muigizaji mkuu.
narco saints drama na squid game zimenifanya nivutiwe na uigizaji wa park hae soo.

kuhusu kingdom drama nilishaiangalia, prequel yake inaitwa kingdom ashin of the north.
sijabahatika kuitazama.
 
Back
Top Bottom