missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
Si bora hata ningekuwa honeymoon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] vipi honeymoon imeisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bora hata ningekuwa honeymoon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] vipi honeymoon imeisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi honeymoon imeisha?
Ukiacha Tagon sijui hawa wengine wamebadilika?
1. Six flying dragons: moto wa giltami, libanji, na yule demu + ukatili, ubakaji, hatari sanamsaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako
ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
Nimehisi tu maana sio kwa kupotea hukoSi bora hata ningekuwa honeymoon [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ingekuwa drama peke yake ningeandika Ila maelezo siwezi kwa kwelimsaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako
ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
Sema nimeangalia nyingi hadi zinanitoka hadi nashindwa kuelezwa sababu ila kuna historical drama ile ya Jung Il Woo Haechi ina moto sana second male lead ni machachari nilimkubali sana pia zile politics zake.msaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako
ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
[emoji23]tayari kashatupa spoiler tushajua yajayo kumbe hata watoe rushwa vipi wale Prince Uiseong hapati kitu.Crown prince?
View attachment 2419546
msaada:
niwekee list ya drama ulizoangalia na kukuvutia
itapendeza ikiwa utanipa sababu ya kuvutia kwako, hiyo drama haijalishi ni ya mwaka gani.
lakini family drama zisiwe kwenye list yako
ondoa wasiwasi mjinga mimi sijaangalia drama zote za wakorea.
mpaka hili pia mutashindwa?
sidhani
wamebadilika kivipi?
umemaanisha waigizaji wakuu?
kama ni hivyo, ok wamebadilika.
waigizaji wakuu ni lee joon gi na shin se kyung.
kim ok vin bado yupo.
Aaah kweli hicho ni kitu kizito, lakini mbona mimi niliipakua kutoka huko na episode zote zilicheza?jana mtandao wa kimoitv wamenipiga na kitu kizito...
nimepakua big mouse completed drama lakini episodes zote zimegoma kucheza.
nimepoteza 2.5 GB.
Jamani malikia wetu anatujali hata sisi watazamaji kutoka mchamba wima usukumani pembaa
Mtoto wa waziri wa ulinzi ndiye crown princess?
Nasubiria mvujo wa jeneza la queen dowager
View attachment 2420073
kwanza nikushukuru kwa mchango wako......Six flying dragons: moto wa giltami, libanji, na yule demu + ukatili, ubakaji, hatari sana
hii nilianza kuiangalia kwenye episode za 30 ila leo kwa kuipendekeza kwako imenibidi nitafute episodes za mwanzoni ili niweze kuifahamu vizuri simulizi yake.The Great queen: stori ya bidam na doekman
maisha ya uigizaji kwa park hae soo na msemo wa vumilia muda wako utafika,Chimera: yule muuaji kumjua ilihitajika akili ya ziada, Chemisty iliyotumika sio ya kitotoule ujumbe wa biblia aliokua anawatumia adui zake![]()
queen amemiliki kimeo kabla ya mfalmeQueen apewe block mitandaoni anatumalizia uhondo😂😂😂😂
hii sentensi hukuiona katika mchango wangu?Yaani zote au za mwaka huu[emoji848]
Hii task sasaaa