Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Safi . ila tumemiss maandiko yako humu,weka dodoso kidogo za ongoing unazoangalia tufatilie na sie
siku hizi umeshakuwa mwalimu kwenye huo ulimwengu na hata rafiki yako talnam naye anaupiga mwingi.
lakini bado umebaki na msimamo wako wa kutokuyaweka akilini majina halisi ya waigizaji wa korea, hapo ndipo tofauti yenu inapojizalisha.
teh teh teh.

  1. Oasis ndio ninayoangalia kwa hizi drama za mwaka 2023 (imenivutia mnoo), hutamani wiki nzima ionyeshwe
  2. nilijaribu kuiangalia divorce attorney shin, licha ya matarajio makubwa nilioweka kwa bahati mbaya drama hiyo imenishinda kuendelea nayo episode 3 and 4.
leo nimepakua drama hizi, pengine nitaingiwa na ari ya kuziangalia
  1. King and I (historical)
  2. hyena (law)
  3. the red sleeve (historical)
  4. Rookie Historian Goo Hae-ryung (historical)
 
Majina yao magumu kukariri halafu kila siku wanaibuka wapya😂😂😂😂😂

Rookie nzuri ka actor kahandsome idol kisha red sleeve

Asante hizo recom

Definetely uliyoisifia itakua moto
On my list

Wewe ni Kama Yoo jae suk alivyo kwenye u MC
Unaupiga mwingi
Usitususe[emoji1491]
 
Sixth sense hii reality inanitesa😂😂😂tangu nianze kuiangalia naumwa mfululizo visivyoeleweka(sijui kisa walishut kwenye corona😂😂😂) ila sikomi napambana niimalize,nikipona tu ninayo nikianza kuumwa naipumzisha naangalia vingine
 
Kwenye sixth sense wamemtania jamani ila wala hakua na hasira za haraka yeye ni kucheka tu

Hapo kwenye recom ntaisaka king and i, oasis . Za law zimekinai ntaisaka mbeleni. Saiv natamani za hospital tu
Asante hizo recom

Definetely uliyoisifia itakua moto
On my list

Wewe ni Kama Yoo jae suk alivyo kwenye u MC
Unaupiga mwingi
Usitususe[emoji1491]
 
Sixth sense hii reality inanitesa[emoji23][emoji23][emoji23]tangu nianze kuiangalia naumwa mfululizo visivyoeleweka(sijui kisa walishut kwenye corona[emoji23][emoji23][emoji23]) ila sikomi napambana niimalize,nikipona tu ninayo nikianza kuumwa naipumzisha naangalia vingine

Pole sana

Kwa imani hiyo itaisha kweli[emoji16]
 
Kwenye sixth sense wamemtania jamani ila wala hakua na hasira za haraka yeye ni kucheka tu

Hapo kwenye recom ntaisaka king and i, oasis . Za law zimekinai ntaisaka mbeleni. Saiv natamani za hospital tu

Yaani anacheka na yale meno yake[emoji1787]
Kwenye running man ep 297 ilikua wakidhi kigezo cha kua patner wa kim ji won, Haha akamtoa kofia na miwani weeeh

[emoji1787][emoji1787] kweli he is the ugliest

Saivi natizama transit love season 2
Ni dating variety, Yani unamualika ex wako alafu kule ndo mtajua mtarudiana au mtaopoa wapya

Wakorea hawaishiwi
 
Asante.
Curiosity inaniendesha ntaenda nayo hivyo hivyo. Episode moja saiv naimaliza kwa siku mbili tatu
Pole sana

Kwa imani hiyo itaisha kweli[emoji16]
😂😂😂😂😂

Duh wakorea wana vitu vingi vya kuonyesha
Yaani anacheka na yale meno yake[emoji1787]
Kwenye running man ep 297 ilikua wakidhi kigezo cha kua patner wa kim ji won, Haha akamtoa kofia na miwani weeeh

[emoji1787][emoji1787] kweli he is the ugliest

Saivi natizama transit love season 2
Ni dating variety, Yani unamualika ex wako alafu kule ndo mtajua mtarudiana au mtaopoa wapya

Wakorea hawaishiwi
 
Family drama imeanza leo hii nimefurahi kumuona Cha Joo Young ndani at least kama second female lead.

The Real Has Come

dummy.jpg
 
Mkuu Al-Hadidy ahsante kwa recommendation ya Love to hate you iko pambe ingawa ndio kwanza nipo episode ya tatu. Napenda hizi drama zinazohusu celebrities maana ni kama wakorea wanatuonyesha uhalisia wao nyuma ya camera [emoji1787][emoji1787] mtu akiwa kwenye kamera utasema mkaka/ mdada si ndio huyu kumbe utopolo mtupu
 
Kuna scene jamaa alipewa part acheze na ex wake kissing scene baada ya kushoot mwamba akakimbilia bafuni kupiga mswaki huku akijitapisha dah halafu unfortunately demu akaona aisee acha machozi yamlenge kwa hasira akiona kama kafanyiwa harassment kubwa sana.

Nilimuonea huruma yule mdada ukizingatia ni byuti byuti anadeserve better
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi kumbe alikuwa ex wake nahisi point hiyo nilipitwa. Halafu kwenye interview umuone anavyoelezea kuhusu Chemistry iliyokuwepo kati yao wakati wanashuti ptuu wakorea ahsanteni kwa kutuonyesha unafiki wenu[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu Al-Hadidy ahsante kwa recommendation ya Love to hate you iko pambe ingawa ndio kwanza nipo episode ya tatu. Napenda hizi drama zinazohusu celebrities maana ni kama wakorea wanatuonyesha uhalisia wao nyuma ya camera [emoji1787][emoji1787] mtu akiwa kwenye kamera utasema mkaka/ mdada si ndio huyu kumbe utopolo mtupu

Hiyo drama ni balaa nilijuta kwanin nislishusha ep 4 siku ya kwanza

Siku ya pili nililala saa nane, hadi imeisha ndo roho kwatuu

Waigizaji wako so natural
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haiishi hamu yaani sikushangai kwa huo mkesha mimi nilikuwa naitazama pamoja na bad prosecutor nimeamua kuiweka pending kwanza
 
Back
Top Bottom