Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Wapi hukuMoments zetu[emoji38]View attachment 2564164
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hukuMoments zetu[emoji38]View attachment 2564164
Ipo vizuri Sana yaani natamani ingekuwa ipo complete hivi ongoing wanatutesa Sana unakuta episode imeisha kiutamu utamu alafu inakubidi usubiri mpaka siku nyingineLeo nimeangalia Pandora: Beneth the paradise ni nzuri sana.. Umeiona?
siku hizi umeshakuwa mwalimu kwenye huo ulimwengu na hata rafiki yako talnam naye anaupiga mwingi.Safi . ila tumemiss maandiko yako humu,weka dodoso kidogo za ongoing unazoangalia tufatilie na sie
siku hizi umeshakuwa mwalimu kwenye huo ulimwengu na hata rafiki yako talnam naye anaupiga mwingi.
lakini bado umebaki na msimamo wako wa kutokuyaweka akilini majina halisi ya waigizaji wa korea, hapo ndipo tofauti yenu inapojizalisha.
teh teh teh.
leo nimepakua drama hizi, pengine nitaingiwa na ari ya kuziangalia
- Oasis ndio ninayoangalia kwa hizi drama za mwaka 2023 (imenivutia mnoo), hutamani wiki nzima ionyeshwe
- nilijaribu kuiangalia divorce attorney shin, licha ya matarajio makubwa nilioweka kwa bahati mbaya drama hiyo imenishinda kuendelea nayo episode 3 and 4.
- King and I (historical)
- hyena (law)
- the red sleeve (historical)
- Rookie Historian Goo Hae-ryung (historical)
siku hizi umeshakuwa mwalimu kwenye huo ulimwengu na hata rafiki yako talnam naye anaupiga mwingi.
lakini bado umebaki na msimamo wako wa kutokuyaweka akilini majina halisi ya waigizaji wa korea, hapo ndipo tofauti yenu inapojizalisha.
teh teh teh.
leo nimepakua drama hizi, pengine nitaingiwa na ari ya kuziangalia
- Oasis ndio ninayoangalia kwa hizi drama za mwaka 2023 (imenivutia mnoo), hutamani wiki nzima ionyeshwe
- nilijaribu kuiangalia divorce attorney shin, licha ya matarajio makubwa nilioweka kwa bahati mbaya drama hiyo imenishinda kuendelea nayo episode 3 and 4.
- King and I (historical)
- hyena (law)
- the red sleeve (historical)
- Rookie Historian Goo Hae-ryung (historical)
Asante hizo recom
Definetely uliyoisifia itakua moto
On my list
Wewe ni Kama Yoo jae suk alivyo kwenye u MC
Unaupiga mwingi
Usitususe[emoji1491]
Sixth sense hii reality inanitesa[emoji23][emoji23][emoji23]tangu nianze kuiangalia naumwa mfululizo visivyoeleweka(sijui kisa walishut kwenye corona[emoji23][emoji23][emoji23]) ila sikomi napambana niimalize,nikipona tu ninayo nikianza kuumwa naipumzisha naangalia vingine
Kwenye sixth sense wamemtania jamani ila wala hakua na hasira za haraka yeye ni kucheka tu
Hapo kwenye recom ntaisaka king and i, oasis . Za law zimekinai ntaisaka mbeleni. Saiv natamani za hospital tu
😂😂😂😂😂Pole sana
Kwa imani hiyo itaisha kweli[emoji16]
Yaani anacheka na yale meno yake[emoji1787]
Kwenye running man ep 297 ilikua wakidhi kigezo cha kua patner wa kim ji won, Haha akamtoa kofia na miwani weeeh
[emoji1787][emoji1787] kweli he is the ugliest
Saivi natizama transit love season 2
Ni dating variety, Yani unamualika ex wako alafu kule ndo mtajua mtarudiana au mtaopoa wapya
Wakorea hawaishiwi
Family drama imeanza leo hii nimefurahi kumuona Cha Joo Young ndani at least kama second female lead.
The Real Has Come
View attachment 2565562
Hatimaye naungana na wewe kwenye safari hii ya takribani miezi 6
The real has come
Genre:Romance,Drama / 50 episodes
1/50
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Family drama imeanza leo hii nimefurahi kumuona Cha Joo Young ndani at least kama second female lead.
The Real Has Come
View attachment 2565562
Kuna scene jamaa alipewa part acheze na ex wake kissing scene baada ya kushoot mwamba akakimbilia bafuni kupiga mswaki huku akijitapisha dah halafu unfortunately demu akaona aisee acha machozi yamlenge kwa hasira akiona kama kafanyiwa harassment kubwa sana.Mkuu Al-Hadidy ahsante kwa recommendation ya Love to hate you iko pambe ingawa ndio kwanza nipo episode ya tatu. Napenda hizi drama zinazohusu celebrities maana ni kama wakorea wanatuonyesha uhalisia wao nyuma ya camera [emoji1787][emoji1787] mtu akiwa kwenye kamera utasema mkaka/ mdada si ndio huyu kumbe utopolo mtupu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi kumbe alikuwa ex wake nahisi point hiyo nilipitwa. Halafu kwenye interview umuone anavyoelezea kuhusu Chemistry iliyokuwepo kati yao wakati wanashuti ptuu wakorea ahsanteni kwa kutuonyesha unafiki wenu[emoji1787][emoji1787]Kuna scene jamaa alipewa part acheze na ex wake kissing scene baada ya kushoot mwamba akakimbilia bafuni kupiga mswaki huku akijitapisha dah halafu unfortunately demu akaona aisee acha machozi yamlenge kwa hasira akiona kama kafanyiwa harassment kubwa sana.
Nilimuonea huruma yule mdada ukizingatia ni byuti byuti anadeserve better
Mkuu Al-Hadidy ahsante kwa recommendation ya Love to hate you iko pambe ingawa ndio kwanza nipo episode ya tatu. Napenda hizi drama zinazohusu celebrities maana ni kama wakorea wanatuonyesha uhalisia wao nyuma ya camera [emoji1787][emoji1787] mtu akiwa kwenye kamera utasema mkaka/ mdada si ndio huyu kumbe utopolo mtupu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haiishi hamu yaani sikushangai kwa huo mkesha mimi nilikuwa naitazama pamoja na bad prosecutor nimeamua kuiweka pending kwanzaHiyo drama ni balaa nilijuta kwanin nislishusha ep 4 siku ya kwanza
Siku ya pili nililala saa nane, hadi imeisha ndo roho kwatuu
Waigizaji wako so natural
Hapa ni kuruka nayo kila weekend mana nikipakua zote 50 ntaona uvivu kuzimalizaNaisubiria iishe. Za kuishia episode 50 huwa nzuri sana