Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bwana wee utajua mwenyewe mimi ndio nimeshasema...acheni maneno yenu ya shombo kama drama hujaipenda ikosoe drama habari za akina dada sijui watu fulani inahusu nini? Nimewasemea ndio kwani kuna ubaya? Nina kaka zangu kibao wanaoangalia kdrama na hawapo humu wakikosewa lazima niwasemee na sio wao tu hata sisi umetudharau kuwa tunaangalia ishu pet pet

Mimi pia nimeshasema, siwezi kubadili chochote na wala sina raia yoyote wa kuniguard humu, tena nadhani nikazie kabisa.

Hizo pet project MIMI siwezi kuangalia, angalia wewe na hao kaka zako kibao wanaoziangalia (kama ulivyodai), shida iko wapi? We angalia hakuna sehemu nimekuzuia.

Naona unataka kulazimisha ionekane nimediss mtu humu wakati nililalamika kuhusu korean project za sikuhizi, ilmradi upate agenda tu, based on how umekuwa uki-attack yoyote anaeonekana kuwa kinyume na drama zako huko nyuma inaonekana unapenda mabishano na ushujaa.

Siendelei na huu mjadala tena, nimepuuza.
 
Hata mimi wala sitaki mabishano na wewe ndio maana hata sikuwa nimekuquote wewe ulirukia tu mazungumzo yangu na mdau mwingine attack drama upendavyo usiattack watu period!
 
Kitu kingine unachotakiwa kujua ndugu yangu Khantwe ni kwamba, hauna na hautakuja kuwa na uwezo wa aina yoyote ile wa kunipangia cha kufanya hapa Jf au popote pale, hizo falsafa zako wape wengine unaodhani watakusikiliza kama msemaji wao.

Mimi nilishazungumza yangu nikamaliza, nafikiri tuendelee na mengine sasa.

Uwe na mchana mwema.
 
Siwezi kukupangia cha kufanya wewe wala mtu yeyote humu ndani na kwingineko. Andika chochote, post chochote unachotaka kuhusu jambo lolote ila ukikashfu watu lazima nitakukosoa na wewe pia huna uwezo wa kunizuia. Yaani wewe unavyokwazwa na ukosoaji wangu ndivyo hivyo na mimi nakwazwa na kashfa zako na sitoacha kujibu pale ninapojisikia kufanya hivyo kama unadhani ukiongea kwa nyodo hivi ndio utanizima pole sana. Kama ilivyo haki yako kusema chochote na mimi pia ni hivyohivyo. Hata usiposema wewe mchana ni mwema kwangu
 
Kwahiyo comrade Khantwe unahisi kuandika kwangu hapa, nia yangu ni kutaka kukuzima, uliwaka lini hapa jF kiasi cha kuhisi ninaweza kujipa kazi ya kukuzima, na kwa faida gani?

Washindwe kukuzima wa huko uraiani wanapokuona, nije kujihangaisha mimi hapa kwenye anonymity? Aaaah hii haiwezi kuleta mantiki.

We endelea na kazi yako ya kuwatetea kama walivyokutuma katika hili, wala mimi sina neno na wewe.
 
Hakuna mtu aliyenituma kijana nimejituma mimi mwenyewe...kila mtu ana uhuru wa kuandika atakacho ila kashfa haziruhusiwi. Endelea kutumia uhuru wako wa kuandika na mimi pia nitaendelea kutumia wa kwangu
 
Back
Top Bottom