Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

images_1.jpg
 
The silent sea ila wakorea bana hawapitwi nao wameigiza kwenda ulimwengu wa juu nje ya dunia. Ndugu wadau msipitwe na huu uhondo japo sijaumaliza ila nimevutiwa na episode mbili nilizozicheki
Hawa jama wanajua kutengeneza story ila technology inawaangusha editing zao ni zero kabisa
 
The silent sea ila wakorea bana hawapitwi nao wameigiza kwenda ulimwengu wa juu nje ya dunia. Ndugu wadau msipitwe na huu uhondo japo sijaumaliza ila nimevutiwa na episode mbili nilizozicheki
Hata muvi ya Alienoid (ya Kikorea) inahusisha aliens
Nilifurahi kuona finally aliens wameona nchi nyingine ya kuvamia tofauti na USA[emoji28][emoji28]
 
Siwezi kukupangia cha kufanya wewe wala mtu yeyote humu ndani na kwingineko. Andika chochote, post chochote unachotaka kuhusu jambo lolote ila ukikashfu watu lazima nitakukosoa na wewe pia huna uwezo wa kunizuia. Yaani wewe unavyokwazwa na ukosoaji wangu ndivyo hivyo na mimi nakwazwa na kashfa zako na sitoacha kujibu pale ninapojisikia kufanya hivyo kama unadhani ukiongea kwa nyodo hivi ndio utanizima pole sana. Kama ilivyo haki yako kusema chochote na mimi pia ni hivyohivyo. Hata usiposema wewe mchana ni mwema kwangu
Wee ni wakiume au wakike?
 
Series kali za madetective 1. Tell me what you saw 2. Mouse 3. Beyond evil 4, again my life
Mwaka huu hawajaproduce serial killers drama tofauti na Decoy/Bait..

Tell me what you saw itabaki kuwa drama bora sana upande wa serial killers/psychopath

Mouse ilijawa na twist nyingi sana
 
The Long Ballad(hii ni historical japo Wachina waongo kwenye action ina story nzuri humu unakutana na yule Taizong wa Tang watu wa Goguryeo tunampata vyema)

Arsenal Military Academy(hii nadhani anza nayo ni kali sana)

Insects Awaken(drama kali ya kivita ya mwaka juzi tu hii China na Japan nadhani battle zao unazijua)

City Of Streamer(hii naicheki kwa sasa)

Glory Of Special Forces


Mr Honesty

My Dear Guardian

Battle Of Changsha

Blood Of Youth


Zipo nyingi nzuri tutaendelea kupena taratibu
Pamoja kiongozi , ngoja niishi mazo hizi
 
Back
Top Bottom