Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Celebrity

Hii series inatoka leo in short wale wazee wenzangu tusiojua kubagua drama hii ni tamu hata wale wazee wa tastes lazima wataipenda
 
Sasa naweza kusema nimemfaid le do hyun kwenye the good bad mother
Nilikua namuona kama spoiled actor

Amefanya nikumbuke enzi za back to back ya so kang ho
 
Spoiled actor? Hujaangalia 18 agai wewe. Mimi nilivyoanza mwanzo I was like Wtf...this character doesn't suit him at all, then he came [emoji28] nikasema yes huyu ndio lee do hyun ninayemjua mimi. He's one of my favorite actors (teh niulizen ni nani ambaye sio favorite [emoji1787][emoji1787])
 
Mwenye elfu 15 aje nimgawie GB 10 za mwezi mzima
Screenshot_20230701-073920.jpg
 
Spoiled actor? Hujaangalia 18 agai wewe. Mimi nilivyoanza mwanzo I was like Wtf...this character doesn't suit him at all, then he came [emoji28] nikasema yes huyu ndio lee do hyun ninayemjua mimi. He's one of my favorite actors (teh niulizen ni nani ambaye sio favorite [emoji1787][emoji1787])

[emoji1787][emoji1787] ile niliishia kati
Sikuelewa ule uswitch body ah

Hatukuulizi tunajua kila drama uloipenda unapata favourite mpya na wakienda jeshin unasahau kama ni favourit wako, unaanza upyaa

Bhana basi nlikua namuangalia kwa kijicho[emoji848][emoji23]
Mi napenda mtu anaevaa uhusika wa kila kitu
Kwenye utoto kaweza had alivyorud utuuzima sijampentaaa
 
[emoji28][emoji28][emoji28] ulijikosesha utamu. Ile character ya utoto ndio ilinifurahisha na mimi, nilipenda maana nilijua ni mwanzo wa kuunganisha familia yao.
 
Sana
Ah ile akifanya kama madeko

Hajakutana na kabint kake
Kapewe ulinz kale , kana kitu[emoji1787]
 
Hye jin [emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu hii ni spoiler ujue. Huyu kaka nitamtafuta na mimi nishike mimba yake nizae mapacha maana hata kwenye 18 again alikuwa na mapacha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah kweliii

Sema haina nguvu iko so obvious

Mi ya kim seon ho chaap…
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah kweliii

Sema haina nguvu iko so obvious

Mi ya kim seon ho chaap…
Yeah ni kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Kim seon ho ushike mimba yake unayajua matokeo? Walau mimi najua nitapata mapacha wa kike na wa kiume
 
Hii series ya Celebrity director kajua kutuwekea wanawake warembo kama wote aisee dah![emoji1316][emoji23][emoji23]

Kila nikiona hiyo celebrity nakumbuka nyimbo ya IU ‘celebrity’ u korea umenikolea[emoji4]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanzon nilijua ndo ulipomaanisha

Simwambii kama ipo[emoji3061]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ulielewa kabla hata sijasema. Atashtukia tu umejifungua katoto kana dimples halafu mnaanza kupelekana tena mahakamani kukagombania.
 
Back
Top Bottom