Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Celebrity
Hii series inatoka leo in short wale wazee wenzangu tusiojua kubagua drama hii ni tamu hata wale wazee wa tastes lazima wataipenda
Celebrity
Hii series inatoka leo in short wale wazee wenzangu tusiojua kubagua drama hii ni tamu hata wale wazee wa tastes lazima wataipenda
Spoiled actor? Hujaangalia 18 agai wewe. Mimi nilivyoanza mwanzo I was like Wtf...this character doesn't suit him at all, then he came [emoji28] nikasema yes huyu ndio lee do hyun ninayemjua mimi. He's one of my favorite actors (teh niulizen ni nani ambaye sio favorite [emoji1787][emoji1787])Sasa naweza kusema nimemfaid le do hyun kwenye the good bad mother
Nilikua namuona kama spoiled actor
Amefanya nikumbuke enzi za back to back ya so kang ho
Spoiled actor? Hujaangalia 18 agai wewe. Mimi nilivyoanza mwanzo I was like Wtf...this character doesn't suit him at all, then he came [emoji28] nikasema yes huyu ndio lee do hyun ninayemjua mimi. He's one of my favorite actors (teh niulizen ni nani ambaye sio favorite [emoji1787][emoji1787])
[emoji28][emoji28][emoji28] ulijikosesha utamu. Ile character ya utoto ndio ilinifurahisha na mimi, nilipenda maana nilijua ni mwanzo wa kuunganisha familia yao.[emoji1787][emoji1787] ile niliishia kati
Sikuelewa ule uswitch body ah
Hatukuulizi tunajua kila drama uloipenda unapata favourite mpya na wakienda jeshin unasahau kama ni favourit wako, unaanza upyaa
Bhana basi nlikua namuangalia kwa kijicho[emoji848][emoji23]
Mi napenda mtu anaevaa uhusika wa kila kitu
Kwenye utoto kaweza had alivyorud utuuzima sijampentaaa
[emoji28][emoji28][emoji28] ulijikosesha utamu. Ile character ya utoto ndio ilinifurahisha na mimi, nilipenda maana nilijua ni mwanzo wa kuunganisha familia yao.
Hye jin [emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu hii ni spoiler ujue. Huyu kaka nitamtafuta na mimi nishike mimba yake nizae mapacha maana hata kwenye 18 again alikuwa na mapachaSana
Ah ile akifanya kama madeko
Hajakutana na kabint kake
Kapewe ulinz kale , kana kitu[emoji1787]
Hye jin [emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu hii ni spoiler ujue. Huyu kaka nitamtafuta na mimi nishike mimba yake nizae mapacha maana hata kwenye 18 again alikuwa na mapacha
Yeah ni kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Kim seon ho ushike mimba yake unayajua matokeo? Walau mimi najua nitapata mapacha wa kike na wa kiume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah kweliii
Sema haina nguvu iko so obvious
Mi ya kim seon ho chaap…
Nkiri haipo? Nimetafuta sijaionaHii series ya Celebrity director kajua kutuwekea wanawake warembo kama wote aisee dah![emoji1316][emoji23][emoji23]
Ipo japo mi nimechukua KissasianNkiri haipo? Nimetafuta sijaiona
Yeah ni kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa Kim seon ho ushike mimba yake unayajua matokeo? Walau mimi najua nitapata mapacha wa kike na wa kiume
Hii series ya Celebrity director kajua kutuwekea wanawake warembo kama wote aisee dah![emoji1316][emoji23][emoji23]
Atakulazimisha utoe [emoji3][emoji3] (jokes)Matokeo yoyote
Ila ile cutie face mweh
[emoji848]dah
Atakulazimisha utoe [emoji3][emoji3] (jokes)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe ulielewa kabla hata sijasema. Atashtukia tu umejifungua katoto kana dimples halafu mnaanza kupelekana tena mahakamani kukagombania.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanzon nilijua ndo ulipomaanisha
Simwambii kama ipo[emoji3061]