Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mi

sijaitazama laat week nasubir iishe labda
Na kweli usitazame leo nimeamua kwenda na ya 19 sasa preview ya wiki ijayo natamani nisiangalie tena final decision day maumivu tupu maex wasiolia ni Kwang Tae na Jong Eun tu ambao washamove on kitambo.

Hawa wengine machozi tu na nilivyoona sasa naweza kuanza kuiamini ile spoiler iliyosemaga endgames ni Juwon & Seokyung na Dong Jin & Dahye hao walirudiana.

Sasa mahesabu ya haraka naona kwa nn,Hye Won alimuacha Hwihyun akaenda kwa Dong Jin ambaye hawezi kutupa relationship yake na Dahye pia Yu Jung alimuacha Chang Jin akaenda kwa Juwon ambaye nae hawezi kumuacha Seokyung aende.

Hiyo ndio mess i hope isiwe hivyo ila mtoa spoiler alishatoaga spoiler ya ex wa Kwang Tae na Sang Jeong kabla hata hawatarajii kuonekana.

Ikiwa hivyo nitaamini Hyewon na Yujung ni wapuuzi sana walikuwa excited na short time na watu ambao wanastruggle kuwasahau maex wao
 
Hata kitaani juwon atakujaga kumtaka yu jung, he was swayed enough. Ni kwamba tu hakuwa anaziona side za seokyung, shida yujung atamkubal?

Hyewon ajipe muda, mimi nliona dongjin nae alikua ameanza kupagawa nae sema vile haeleweki bora tu arud kwa dahye
 
Haijanishawaishi hiyo wataangalia Pinoy fans tu
Mim nje ya korea bora nirud kwa hao wehu wamarekan, philipine wananipaga vibe za wahind ah.

Hap nina arosto ya my sibling sijui namaliza na nin
 
Baada ya kucheki Arthdal Chronicles season 2 sasa nacheki 1 , katika season zote Kuna watu wanazungumza lugha Fulani amazing mfano Nenthals sijui wamejitungia maneno au ni lugha rasmi.
 
Back
Top Bottom