Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukranAlchemy of Souls - 2022
The King: Eternal Monarch - 2020
The Good Bad Mother -2023 (hii kama una roho ndogo utalia sana)
From Now on, Show time -2022
Queen who crowns nimeianza ila nasikitika queen ndo kaibeba character vizuri wengine kama wamezidiwa na scriptbado naendelea na ulevi japokuwa kwa sasa naonja kidogo kidogo, safari yangu ya mwaka 2025 imeanzia hivi:-
bang won: "nahitaji uishi kama wanawake wengine wa joseon (usiingilie mambo ya kiume, kifalme) wala usishike upanga"
- the queen who crowns : bado tunaendelea kuchezeshwa ngoma ya lee bang won, awamu hii stori imemlenga zaidi malikia Won ambaye alikuwa ni mke wake, kuna mengi mazuri utayafahamu kutoka kwake, nguvu yake ya kifamilia na jinsi ukoo wake ulivyoshirikiana moja kwa moja na bang won katika kufanya mapinduzi, uwezo wake kisiasa, uimara wake wa kupambana na Lee bang won na mengineyo. Humu ndani utakutana na erotic scenes za kijinga jinga kuliko scenes za wanaume waliokamata majambia. Usiangalie na mwanao.
queen won: "ni bora niwe mwanamke wa Goryeo kuliko kuwa mwanamke wa Joseon"
fashion - perfectView attachment 3210376
View attachment 3210381
- Love scout: stori ya kibibi mpenda kazi anaelala kwenye kochi na karani wake single father, hadithi imeishia kwa kibibi mpenda kazi kuanza kuweweseka kihisia mbele ya mkaka single father.
karibuni ulevini
Hitv download apphivi sites gani za kukamata hizi ngoma za wakorea
Video quality ipo vyema ila baadhi ya profiles za wasanii zimekosekana hususani wale wasiokuwa na projects kwa miaka ya karibuni.Hitv download app
Ju Ji Hoon amecharukwa, ameshiriki project nne ndani ya mwaka mmoja.Kwa wale tunaopenda Medical Drama hii The Trauma Code ni nzurii itupieni macho.
Kaupiga mwingi humu kanikumbusha Legendary Kim SabuJu Ji Hoon amecharukwa, ameshiriki project nne ndani ya mwaka mmoja.
ipo vizuri.
Kim Sabu yupo kwenye dunia ya upekee.Kaupiga mwingi humu kanikumbusha Legendary Kim Sabu
Queen amekuwa mwana mikakati kuliko muunganiko wa ubongo wa mfalme lee bang won pamoja na chief state councillor Har yun.Queen who crowns nimeianza ila nasikitika queen ndo kaibeba character vizuri wengine kama wamezidiwa na script
Duh! Wakorea wameshaanga kuingiza scenes za mizaga tenabado naendelea na ulevi japokuwa kwa sasa naonja kidogo kidogo, safari yangu ya mwaka 2025 imeanzia hivi:-
bang won: "nahitaji uishi kama wanawake wengine wa joseon (usiingilie mambo ya kiume, kifalme) wala usishike upanga"
- the queen who crowns : bado tunaendelea kuchezeshwa ngoma ya lee bang won, awamu hii stori imemlenga zaidi malikia Won ambaye alikuwa ni mke wake, kuna mengi mazuri utayafahamu kutoka kwake, nguvu yake ya kifamilia na jinsi ukoo wake ulivyoshirikiana moja kwa moja na bang won katika kufanya mapinduzi, uwezo wake kisiasa, uimara wake wa kupambana na Lee bang won na mengineyo. Humu ndani utakutana na erotic scenes za kijinga jinga kuliko scenes za wanaume waliokamata majambia. Usiangalie na mwanao.
queen won: "ni bora niwe mwanamke wa Goryeo kuliko kuwa mwanamke wa Joseon"
fashion - perfectView attachment 3210376
View attachment 3210381
- Love scout: stori ya kibibi mpenda kazi anaelala kwenye kochi na karani wake single father, hadithi imeishia kwa kibibi mpenda kazi kuanza kuweweseka kihisia mbele ya mkaka single father.
karibuni ulevini
Yeah nili ona hiloTanzania imepaishwa , kwenye Vincenzo mwamba anacheki profile lake anakuta amewahi kufika Tanzania , jamaa Mafia lakini ukimsearch taarifa zake anakuta ameDisplay kama mtu wa kutoa misaaada...View attachment 3222265
Cc : Intelligent businessman Selikavu
Mimi siyo mtu wa medical ila story yake imekaa poa sana.Kwa wale tunaopenda Medical Drama hii The Trauma Code ni nzurii itupieni macho.