INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

kwa atakae nisaidia kuipata hii pafyum ntashukuru sana niliiagizaga mwaka jana dubai ila nmezunguka kkoo yote nmeikosa inaitwa KURG kama unayo hata sasa hivi naifata
Tuma picha yake
 

Niletee Leo basi
 
Hahahaha hio ya meneja makampuni ni funga kazi [emoji1] watu wataanza kukupiga mizinga ghafla maana unanukia kitajiri...lol!

Uko wapi nikuletee mkuu?

Mizinga ikipigwa inapanguliwa kishkaji tu, nipendekezee ipi yanifaa kati ya ulizonazo , sihitaji iliyo kali. Halafu kama una ofisi pia waweza nielekeza nije kucheck ili nipate chaguo sahihi.
 
Chief mie ipi itanifaa?.
Sipendi vitu vyenye harufu kali, nina mzio .

Currently natumia Sauvage.

Dude lipi linahusika upande wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…