INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

INAUZWA Kwa wapenzi wa Unyunyu mkali/ Perfumes

kwa atakae nisaidia kuipata hii pafyum ntashukuru sana niliiagizaga mwaka jana dubai ila nmezunguka kkoo yote nmeikosa inaitwa KURG kama unayo hata sasa hivi naifata
Tuma picha yake
 
Tuma picha yake
hii hapa boss wng
IMG-20211102-WA0001.jpg
 
Hilo la kibabe sana mkuu! Harufu yake ni tamu sana mkuu! Kama sio mpenzi wa harufu kali utaipenda sana inatulia sana mwilini. Af harufu zake sio common kama zile clones za Msimbazi. Hivyo utajikuta una harufu ya kipeke yako tu aidha ofisini au unapojumuika na wenzio[emoji1] kishua sana!

Niletee Leo basi
 
Hahahaha hio ya meneja makampuni ni funga kazi [emoji1] watu wataanza kukupiga mizinga ghafla maana unanukia kitajiri...lol!

Uko wapi nikuletee mkuu?

Mizinga ikipigwa inapanguliwa kishkaji tu, nipendekezee ipi yanifaa kati ya ulizonazo , sihitaji iliyo kali. Halafu kama una ofisi pia waweza nielekeza nije kucheck ili nipate chaguo sahihi.
 
Chief mie ipi itanifaa?.
Sipendi vitu vyenye harufu kali, nina mzio .

Currently natumia Sauvage.

Dude lipi linahusika upande wangu.
 
Back
Top Bottom