Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui.

Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa.

Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi maandaz hili wala hawalijui.

So we still have a chance to impress guys. Chance to board planes guys. Stay calm, we arent at Utopolo levels at the moment. We shall bounce back big time after having learnt a harsh lesson yesterday.
 
Ndio hivyo kunawatu wanaongea utafikil simba kapoteza kila kitu.
 
Simba ilizidiwa kimbinu na hao Makirikiri. K wa matokeo yale ya 2 kwa moja zikiwa dakika 15 zimebaki ilitakiwa simba ndiyo ipaki basi icheze kaunta (mashambulizi ya kushitukizia) hii ina maana wangetumia winga moja mwenye mbiyo kitimiza adhima hii. Sasa Simba eti bado wana advantage ya bao mbili za ugenini wenyewe wakazidi tu kushambulia wenzao waka pack bus wakafanya shambulizi la kushitukizia kutumia winga moja wa kushoto ambaye alimzidi maarifa kapombe akatoa cross Manula akaufuata akaukosa ikawa goli . Simba nje kwenye mabingwa.

Na bahati ambayo Simba wameikosa ni kwamba CAF iliisha ipa heshima ya kuwa giant yaani mkubwa hivyo ingesimamia kundi hii ina maana Simba ingewekwa kama nguzo halafu timu zungine 3 zingefuata. yaani ingesimamia kundi hii ina maana isingepangwa na magiant wengine kama Al-ahly, Mamerodi sundown, RAJA , Aspirance, Zamareck na wengine. Sasa basi huko kwa washindi ambapo mleta mada kakusema ni kwa wadogo, kwa hiyo Simba kawa mdogo kwa wakubwa ambapo nae aliisha anza kuingia ametoka.
 
Simba inatimu mbovu uko confederation ndio wanakwenda kupata aibu kubwa. Kama unatolewa na timu kutoka Botswana unategemea kwa hatua hii utapangiwa na wacommoro, Djbut au wasomali? Mbumbumbu fc wazito Sana kutambua Hatari inayokuja.
 
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui

Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa...
Tumekusikia Mabata fc. Ila huko nako lazima kitu kizito kukuangukie tu, maana huko Kuna wahuni balaa. Usisahau vijana wa afande Siri wanakusubiri na virungu vyao. Kazi mnayo Mabata fc
 
Simba inatimu mbovu uko confederation ndio wanakwenda kupata aibu kubwa. Kama unatolewa na timu kutoka Botswana unategemea kwa hatua hii utapangiwa na wacommoro, Djbut au wasomali? Mbumbumbu fc wazito Sana kutambua Hatari inayokuja.
Bado hawataki kukubali wao ni wadogo, walikuwa wanatembelea uhuni wa Hansipope. Ila hata hivyo CAF wameishaungamua shenzi type
 
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui

Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa...

Has msiba anapanda ndege, kama shida ni kupanda ndege
 
Nini kimeikumba Tanzania. Biasha na Simba zimetolewa kiajabu ajabu kabisa

Mpaka sasa najiuliza kama sipo kwenye ndoto? Ama kweli tumepigwa na kitu kizito kichani
 
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui

Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa...
Mnyama asifanye ujinga huku anaweza kufika mbali zaidi.

Bila shaka Mazembe naye kaja huku
 
Mnyama aka Bata kapelekewa moto mara tatu pale kwa Mkapa.

Huko shirikisho ataendelea kupelekewa moto tu.
 
Nini kimeikumba Tanzania. Biasha na Simba zimetolewa kiajabu ajabu kabisa

Mpaka sasa najiuliza kama sipo kwenye ndoto? Ama kweli tumepigwa na kitu kizito kichani
Hivi vitu vitofautishe, Biashara alikuwa na changamoto za kupata usafiri wa kwenda Libya, ila Simba kapigwa 3-1, tena nyumbani.
 
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui.

Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa.

Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi maandaz hili wala hawalijui.

So we still have a chance to impress guys. Chance to board planes guys. Stay calm, we arent at Utopolo levels at the moment. We shall bounce back big time after having learnt a harsh lesson yesterday.
Kwahiyo imetoka chini imepanda huu?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Simba ilizidiwa kimbinu na hao Makirikiri. K wa matokeo yale ya 2 kwa moja zikiwa dakika 15 zimebaki ilitakiwa simba ndiyo ipaki basi icheze kaunta (mashambulizi ya kushitukizia) hii ina maana wangetumia winga moja mwenye mbiyo kitimiza adhima hii. Sasa Simba eti bado wana advantage ya bao mbili za ugenini wenyewe wakazidi tu kushambulia wenzao waka pack bus wakafanya shambulizi la kushitukizia kutumia winga moja wa kushoto ambaye alimzidi maarifa kapombe akatoa cross Manula akaufuata akaukosa ikawa goli . Simba nje kwenye mabingwa.

Na bahati ambayo Simba wameikosa ni kwamba CAF iliisha ipa heshima ya kuwa giant yaani mkubwa hivyo ingesimamia kundi hii ina maana Simba ingewekwa kama nguzo halafu timu zungine 3 zingefuata. yaani ingesimamia kundi hii ina maana isingepangwa na magiant wengine kama Al-ahly, Mamerodi sundown, RAJA , Aspirance, Zamareck na wengine. Sasa basi huko kwa washindi ambapo mleta mada kakusema ni kwa wadogo, kwa hiyo Simba kawa mdogo kwa wakubwa ambapo nae aliisha anza kuingia ametoka.
Kuna point umeitoa hapo nami naiwaza hivo hivo. Kizungu inaitwa game management. Simba wanakosa Sana hii. Hata kujiangusha. Kupoteza mda kupaki basi na Ku counter ni part ya game management. I wonder why vitu vidogo km hivi hawafundishwi.
 
Simba inatimu mbovu uko confederation ndio wanakwenda kupata aibu kubwa. Kama unatolewa na timu kutoka Botswana unategemea kwa hatua hii utapangiwa na wacommoro, Djbut au wasomali? Mbumbumbu fc wazito Sana kutambua Hatari inayokuja.
nyie mlivotobolewa moja hapa moja kule mbona hamkupelekwa confederation. ???!!!! Achana na Simba timu kubwa kuteleza kupo
 
Back
Top Bottom