Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

Ulichofanywa jana ni aibu kubwa sana , Leo umeenda kibarua mdogo wangu?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Life goes on. Mi sio mshabiki aliyeibuka baada ya domo la Manara. Mpira naujua longtime na die hard fan wa Arsenal. Sasa nkikutajia Arsenal nadhani ushanfaham.

Waleashabiki maandaz ndio watajinyonga, hawataenda kazini...
Simba tumetolewa kwa aggregate 3 kwa 3
Yanga katolewa kwa 2 mtungi.
think

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
nyie mlivotobolewa moja hapa moja kule mbona hamkupelekwa confederation. ???!!!! Achana na Simba timu kubwa kuteleza kupo
Hakuna ukubwa wowote ni maneno ya kijinga kujipa ukubwa ambao hatuna,tunafungwaje na timu kutoka Botswana ambako mpira hawana na wamekaa karibu mwaka mzima bila kucheza mechi yoyote ya mashindano!!
 
Life goes on. Mi sio mshabiki aliyeibuka baada ya domo la Manara. Mpira naujua longtime na die hard fan wa Arsenal. Sasa nkikutajia Arsenal nadhani ushanfaham.

Waleashabiki maandaz ndio watajinyonga, hawataenda kazini...
Simba tumetolewa kwa aggregate 3 kwa 3
Yanga katolewa kwa 2 mtungi.
think

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app

Lakini wote Simba na Yanga wametolewa. Au kuna mmoja kabaki kwa advantage ya hayo magoli matatu?

Ni ujinga mkubwa sana una mtaji wa magoli matatu kwa sifuri halafu yanachimolewa yote matatu ukiwa hapa hapa nyumbani. Magoli matatu hayajakusaidia kitu na ndio maana umetolewa.
 
Hakuna ukubwa wowote ni maneno ya kijinga kujipa ukubwa ambao hatuna,tunafungwaje na timu kutoka Botswana ambako mpira hawana na wamekaa karibu mwaka mzima bila kucheza mechi yoyote ya mashindano!!
kwa anaejua mpira haswaa hawez sema maneno yako. Mpira ni mchezo wa timing. Hata utopolo aweza cheza na Madrid akamuotea
Km kigezo ni korona baasi Taifa stars ingekua kila mechi inashinda maana korona hatukujifungia. Au Simba last season ingechungua CAF cl

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
Lakini wote Simba na Yanga wametolewa. Au kuna mmoja kabaki kwa advantage ya hayo magoli matatu?

Ni ujinga mkubwa sana una mtaji wa magoli matatu kwa sifuri halafu yanachimolewa yote matatu ukiwa hapa hapa nyumbani. Magoli matatu hayajakusaidia kitu na ndio maana umetolewa.
Kama hujui kuna mmoja kabaki kwenye international competition baasi hufatilii mpira. Ila kwa kifupi Simba kaendelea kubaki. Hiyo kufungwa kawaida kuna makosa. Yes. tuwaachie bench la ufundi maana they are being paid for that job.

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
Kama hujui kuna mmoja kabaki kwenye international competition baasi hufatilii mpira. Ila kwa kifupi Simba kaendelea kubaki. Hiyo kufungwa kawaida kuna makosa. Yes. tuwaachie bench la ufundi maana they are being paid for that job.

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
Kuendelea kubaki au kutoendelea kubaki kutaamulia na mambo mawili la kwanza ni draw. Kwenye draw omba wakupangie timu kilaza zaidi ya Galaxy. La pili ni kuombea mfuzu kwenye mechi yenu ya play off. Mkishindwa kufuzu shirikisho basi itahesabika kuwa Simba msimu huu imeingiza point sifuri ambayo ni sawasawa na Yanga ni sawasawa na Azam na ni sawasawa na biashara united.
 
usijali. Take a seat n relax. mnyama kajeruhiwa Sawa...but he gonna come back stronger n harder.
 
ukubwa hatujajipa. Angali top 20 timu Africa ukiikosa Simba njoo nambia.
usijali. Take a seat n relax. mnyama kajeruhiwa Sawa...but he gonna come back stronger n harder.
Labda unashindwa kujua kuwa record zinatengenezeka. Kama Simba mliweza kutengeneza basi sio ajabu timu zingine zikatengeneza pia. Simba kama hawatofuzu makundi shirikisho basi huenda wakashuka kwenye hizo nafasi kwasababu timu zingine zinapoingia robo kwenye klabu bingwa basi wanajivunia point 15. Nakukumbusha tu kuwa kaizer chiefs kamzidi Simba kwa kupata point 25 ndani ya msimu mmoja tu wakati Simba wamepata point kwa kujichanga changa kwa misimu miwili aliyofanikiwa kucheza robo fainali. Kwahiyo huwezi kubaki top 20 kama hatoweza kuongeza point ndani ya msimu huu
 
Sawa hatujakataa. tutashuka kweli coz kutupwa Conf cup ni kushuka nako coz Kwanza unawafunga low ranked teams. giants kina zamalek or Ahly hukutani nao. it's understandable.
lkn uto mkae mkijua kua hatujapoteza kabisa. Maana mnajifananisha na Sisi. Hilo ndio tatizo.
Yes tutashuka sawaaaa Lkn levels zetu sie na nyie tofauti. Mkae kimya msiongee Sana
 
Back
Top Bottom