Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

Simba haikubweteka, ndio mwisho wa uwezo wao ni ule tulioona jana.

Kwanza kocha wenu hatambuliki hana vyeti lakini bado mmemng'ang'ania tu, nyinyi ni wazima kichwani kweli?
uto ndio mnauwezo mkubwa kuliko Sisi sio! Professor wenu kawafikisha wapi champions League.
ndngelec

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
zerux2 wenyu si ndio anahusudu ndege. Nasie ndio tunatokea hapo hapo kwenye kupanda ndege maana tuna deal na washamba wa ndege inabidi tujisfie kuhusu ndege wakat pembeni tunajiwekea malengo yetu ya maana.
Wenyu ndio nini?
 
Wenyu ndio nini?
That's informal language dude.
Au utaniuliza "dude" ni nini.
Nikisema mnyama anaenda confederation cup utaniuliza "mnyama" ni nani!

uto bhana mnasumbua Sana. Au na hapa utaniuliza "bhana" nini, mzee wa BAKITA!

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
That's informal language dude.
Au utaniuliza "dude" ni nini.
Nikisema mnyama anaenda confederation cup utaniuliza "mnyama" ni nani!

uto bhana mnasumbua Sana. Au na hapa utaniuliza "bhana" nini, mzee wa BAKITA!

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
Ujana ni shida sana. Anyway, it's a transition.
 
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa.
Huyo asiyejua basi sio mfuatiliaji kwa sababu sio jambo jipya hata ndani ya ardhi ya Tanzania kwenyewe!!
 
Back
Top Bottom