Tumekusikia Mabata fc. Ila huko nako lazima kitu kizito kukuangukie tu, maana huko Kuna wahuni balaa. Usisahau vijana wa afande Siri wanakusubiri na virungu vyao. Kazi mnayo Mabata fcHili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa...
Bado hawataki kukubali wao ni wadogo, walikuwa wanatembelea uhuni wa Hansipope. Ila hata hivyo CAF wameishaungamua shenzi typeSimba inatimu mbovu uko confederation ndio wanakwenda kupata aibu kubwa. Kama unatolewa na timu kutoka Botswana unategemea kwa hatua hii utapangiwa na wacommoro, Djbut au wasomali? Mbumbumbu fc wazito Sana kutambua Hatari inayokuja.
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa...
Mnyama asifanye ujinga huku anaweza kufika mbali zaidi.Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa...
Mazembe nae kapigwa na kitu kizito au chenye ncha kaliπ€£π€£π€£π€£Mnyama asifanye ujinga huku anaweza kufika mbali zaidi.
Bila shaka Mazembe naye kaja huku
Hahahaaa. Ngoja tuone kwenye hii Europa ya Afrika mambo yatakavyokuwa.Mazembe nae kapigwa na kitu kizito au chenye ncha kali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui tutaweka wapi sura zetu mbele kina Shadeeya [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Smba kapotea kwl kwl,maana huko hapakuw sehem yake,usajli wa cmba hauna uhalisia halis wa replacement ya wachezaj waliouzwa.Ndio hivyo kunawatu wanaongea utafikil simba kapoteza kila kitu.
Hivi vitu vitofautishe, Biashara alikuwa na changamoto za kupata usafiri wa kwenda Libya, ila Simba kapigwa 3-1, tena nyumbani.Nini kimeikumba Tanzania. Biasha na Simba zimetolewa kiajabu ajabu kabisa
Mpaka sasa najiuliza kama sipo kwenye ndoto? Ama kweli tumepigwa na kitu kizito kichani
Kwahiyo imetoka chini imepanda huu?Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui.
Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa.
Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi maandaz hili wala hawalijui.
So we still have a chance to impress guys. Chance to board planes guys. Stay calm, we arent at Utopolo levels at the moment. We shall bounce back big time after having learnt a harsh lesson yesterday.
Kuna point umeitoa hapo nami naiwaza hivo hivo. Kizungu inaitwa game management. Simba wanakosa Sana hii. Hata kujiangusha. Kupoteza mda kupaki basi na Ku counter ni part ya game management. I wonder why vitu vidogo km hivi hawafundishwi.Simba ilizidiwa kimbinu na hao Makirikiri. K wa matokeo yale ya 2 kwa moja zikiwa dakika 15 zimebaki ilitakiwa simba ndiyo ipaki basi icheze kaunta (mashambulizi ya kushitukizia) hii ina maana wangetumia winga moja mwenye mbiyo kitimiza adhima hii. Sasa Simba eti bado wana advantage ya bao mbili za ugenini wenyewe wakazidi tu kushambulia wenzao waka pack bus wakafanya shambulizi la kushitukizia kutumia winga moja wa kushoto ambaye alimzidi maarifa kapombe akatoa cross Manula akaufuata akaukosa ikawa goli . Simba nje kwenye mabingwa.
Na bahati ambayo Simba wameikosa ni kwamba CAF iliisha ipa heshima ya kuwa giant yaani mkubwa hivyo ingesimamia kundi hii ina maana Simba ingewekwa kama nguzo halafu timu zungine 3 zingefuata. yaani ingesimamia kundi hii ina maana isingepangwa na magiant wengine kama Al-ahly, Mamerodi sundown, RAJA , Aspirance, Zamareck na wengine. Sasa basi huko kwa washindi ambapo mleta mada kakusema ni kwa wadogo, kwa hiyo Simba kawa mdogo kwa wakubwa ambapo nae aliisha anza kuingia ametoka.
nyie mlivotobolewa moja hapa moja kule mbona hamkupelekwa confederation. ???!!!! Achana na Simba timu kubwa kuteleza kupoSimba inatimu mbovu uko confederation ndio wanakwenda kupata aibu kubwa. Kama unatolewa na timu kutoka Botswana unategemea kwa hatua hii utapangiwa na wacommoro, Djbut au wasomali? Mbumbumbu fc wazito Sana kutambua Hatari inayokuja.