nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Siyo kizembe wewe,usipokubali kuwa hampo vizuri.Sawa ila kule sio kwetu sisi kwetu ni huku kwa mabingwa wenzetu ambako tumepoteza kizembe sana
Ulichofanywa jana ni aibu kubwa sana , Leo umeenda kibarua mdogo wangu?Wewe jua kaingia Europa ya Africa. Hata man u hua anashushwaga anapelekwa Europa. Ili uone ukubwa wa Simba Sasa. Maana Uto mmepigwa nje ndani mbn hamkuenda huko chini mbona mmerudi kimbinyiko
Life goes on. Mi sio mshabiki aliyeibuka baada ya domo la Manara. Mpira naujua longtime na die hard fan wa Arsenal. Sasa nkikutajia Arsenal nadhani ushanfaham.Ulichofanywa jana ni aibu kubwa sana , Leo umeenda kibarua mdogo wangu?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna ukubwa wowote ni maneno ya kijinga kujipa ukubwa ambao hatuna,tunafungwaje na timu kutoka Botswana ambako mpira hawana na wamekaa karibu mwaka mzima bila kucheza mechi yoyote ya mashindano!!nyie mlivotobolewa moja hapa moja kule mbona hamkupelekwa confederation. ???!!!! Achana na Simba timu kubwa kuteleza kupo
Life goes on. Mi sio mshabiki aliyeibuka baada ya domo la Manara. Mpira naujua longtime na die hard fan wa Arsenal. Sasa nkikutajia Arsenal nadhani ushanfaham.
Waleashabiki maandaz ndio watajinyonga, hawataenda kazini...
Simba tumetolewa kwa aggregate 3 kwa 3
Yanga katolewa kwa 2 mtungi.
think
Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
Siyo kizembe wewe,usipokubali kuwa hampo vizuri.
Msipokubali ukweli hamtaweza kurekebisha timu,mtazidi kushuka
Hebu fuatilieni uwezo wa timu yenu toka Siku ya simba day
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa. Bado tunawakilishaHahahaaa. Ngoja tuone kwenye hii Europa ya Afrika mambo yatakavyokuwa.
Shadeeya hata akituzodoa bado tuna chance ya kukata mawimbi angani
kwa anaejua mpira haswaa hawez sema maneno yako. Mpira ni mchezo wa timing. Hata utopolo aweza cheza na Madrid akamuoteaHakuna ukubwa wowote ni maneno ya kijinga kujipa ukubwa ambao hatuna,tunafungwaje na timu kutoka Botswana ambako mpira hawana na wamekaa karibu mwaka mzima bila kucheza mechi yoyote ya mashindano!!
Wote ni uzembeHivi vitu vitofautishe, Biashara alikuwa na changamoto za kupata usafiri wa kwenda Libya, ila Simba kapigwa 3-1, tena nyumbani.
Timu mnayo,hili nalikubali maana hata ihefu wanatimu.Timu tunayo ila walijiamini sana walijua wameshamaliza ile game wakaanza kukata miuno
Kama hujui kuna mmoja kabaki kwenye international competition baasi hufatilii mpira. Ila kwa kifupi Simba kaendelea kubaki. Hiyo kufungwa kawaida kuna makosa. Yes. tuwaachie bench la ufundi maana they are being paid for that job.Lakini wote Simba na Yanga wametolewa. Au kuna mmoja kabaki kwa advantage ya hayo magoli matatu?
Ni ujinga mkubwa sana una mtaji wa magoli matatu kwa sifuri halafu yanachimolewa yote matatu ukiwa hapa hapa nyumbani. Magoli matatu hayajakusaidia kitu na ndio maana umetolewa.
Huu ni upumbavu mkubwa sana,kwa ni ndege wanapanda simba tu hapa Tz? Angalie ubora wa timuKweli kabisa. Bado tunawakilisha
nyinyi uto mtapanda ndege Sawa Ila hewan mnakaa nusu saa au DK 45 mshafika. Sasa kinachokuuma nnHuu ni upumbavu mkubwa sana,kwa ni ndege wanapanda simba tu hapa Tz? Angalie ubora wa timu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Msipotulia hili litawavuruga mpk kwenye Nmb ligi,na hii inatokana na kujipa ukubwanyinyi uto mtapanda ndege Sawa Ila hewan mnakaa nusu saa au DK 45 mshafika. Sasa kinachokuuma nn
Kuendelea kubaki au kutoendelea kubaki kutaamulia na mambo mawili la kwanza ni draw. Kwenye draw omba wakupangie timu kilaza zaidi ya Galaxy. La pili ni kuombea mfuzu kwenye mechi yenu ya play off. Mkishindwa kufuzu shirikisho basi itahesabika kuwa Simba msimu huu imeingiza point sifuri ambayo ni sawasawa na Yanga ni sawasawa na Azam na ni sawasawa na biashara united.Kama hujui kuna mmoja kabaki kwenye international competition baasi hufatilii mpira. Ila kwa kifupi Simba kaendelea kubaki. Hiyo kufungwa kawaida kuna makosa. Yes. tuwaachie bench la ufundi maana they are being paid for that job.
Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
Kama laanaNini kimeikumba Tanzania. Biasha na Simba zimetolewa kiajabu ajabu kabisa
Mpaka sasa najiuliza kama sipo kwenye ndoto? Ama kweli tumepigwa na kitu kizito kichani
usijali. Take a seat n relax. mnyama kajeruhiwa Sawa...but he gonna come back stronger n harder.Kuendelea kubaki au kutoendelea kubaki kutaamulia na mambo mawili la kwanza ni draw. Kwenye draw omba wakupangie timu kilaza zaidi ya Galaxy. La pili ni kuombea mfuzu kwenye mechi yenu ya play off. Mkishindwa kufuzu shirikisho basi itahesabika kuwa Simba msimu huu imeingiza point sifuri ambayo ni sawasawa na Yanga ni sawasawa na Azam na ni sawasawa na biashara united.
Labda unashindwa kujua kuwa record zinatengenezeka. Kama Simba mliweza kutengeneza basi sio ajabu timu zingine zikatengeneza pia. Simba kama hawatofuzu makundi shirikisho basi huenda wakashuka kwenye hizo nafasi kwasababu timu zingine zinapoingia robo kwenye klabu bingwa basi wanajivunia point 15. Nakukumbusha tu kuwa kaizer chiefs kamzidi Simba kwa kupata point 25 ndani ya msimu mmoja tu wakati Simba wamepata point kwa kujichanga changa kwa misimu miwili aliyofanikiwa kucheza robo fainali. Kwahiyo huwezi kubaki top 20 kama hatoweza kuongeza point ndani ya msimu huuukubwa hatujajipa. Angali top 20 timu Africa ukiikosa Simba njoo nambia.
usijali. Take a seat n relax. mnyama kajeruhiwa Sawa...but he gonna come back stronger n harder.
Sawa hatujakataa. tutashuka kweli coz kutupwa Conf cup ni kushuka nako coz Kwanza unawafunga low ranked teams. giants kina zamalek or Ahly hukutani nao. it's understandable.Labda unashindwa kujua kuwa record zinatengenezeka. Kama Simba mliweza kutengeneza basi sio ajabu timu zingine zikatengeneza pia. Simba kama hawatofuzu makundi shirikisho basi huenda wakashuka kwenye hizo nafasi kwasababu timu zingine zinapoingia robo kwenye klabu bingwa basi wanajivunia point 15. Nakukumbusha tu kuwa kaizer chiefs kamzidi Simba kwa kupata point 25 ndani ya msimu mmoja tu wakati Simba wamepata point kwa kujichanga changa kwa misimu miwili aliyofanikiwa kucheza robo fainali. Kwahiyo huwezi kubaki top 20 kama hatoweza kuongeza point ndani ya msimu huu