Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

Usituudhi wanasimba kwa vithread vya kuhifariji kama hivi. Simba si wa level ya confederation cup.
 
Kwani huko shirikisho umeshafuzu? Hupaswi kusema chochote wakati bado unasubiri hatima yako. Kujifanya wajuaje ndio kimewaponza hadi kwa Galaxy.
 
Kwani huko shirikisho umeshafuzu? Hupaswi kusema chochote wakati bado unasubiri hatima yako. Kujifanya wajuaje ndio kimewaponza hadi kwa Galaxy.
Hatujafuzu tunatakiwa tukaze t@ko Sawa.
Hivi kwa aibu hii tulioipata unafikiri tutabweteka tena kama kwenye hii mechi???!!! Hili ni funzo kubwa tumelipata.
Nyie chezeni zenuni ligi ya nyumbani mtuachie msala wetu. We should be fine.
Na mkae mkijua kua this time around hatutaweza kuwabeba tena mjibebe wenyewe maana Sisi wenyewe ndio Ivo tushatupwa Europa. Kwanza tukiwabeba wengine hamna hata nauli ya kwendea. Na wengine mnatoka kwa aibu. Mnafumuliwa home n away. Bora Sisi tumetoka Sawa Ila kwa away goals rule.


Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
Naona akili imekurudi sasa
 
Sawa watapanda ndege ila ukweli lazima usemwe,ata makundi haendi😂😂hamna timu pale plus kocha hana uwezo mnasingizia kuna wachezaji wamesaliti.Kolo kolo fc
 
Sawa watapanda ndege ila ukweli lazima usemwe,ata makundi haendi[emoji23][emoji23]hamna timu pale plus kocha hana uwezo mnasingizia kuna wachezaji wamesaliti.Kolo kolo fc
uto ambayo iko na team inacheza mashindano gani ya kimataifa?

Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
 
Fahamu kuwa huko pia mtapigwa vibaya timu ime loose morali

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwakuwa mechi yako kwenye CAFCL ulipangwa na kibonde kutoka Botswana, Basi huku Confederation jiandaeni kisaikolojia kabisa

Confederation kuna cream ya hatari yaani timu ambayo imecheza mechi nne na mpk sasa bado ipo kwenye mashindano na Mabingwa wengine waliotoka CAFCL

Makolo mtachagua wenyewe kati ya kusuka au kunyoa
 
Lakini ni hatari kama sasa kinachotafutwa ni sifa ya kupanda ndege badala ya ushindi.
 
Kibonde ,kwa hivyo Yanga ni kibonde kwa kutolewa mapema sio?
 
Lakini ni hatari kama sasa kinachotafutwa ni sifa ya kupanda ndege badala ya ushindi.
zerux2 wenyu si ndio anahusudu ndege. Nasie ndio tunatokea hapo hapo kwenye kupanda ndege maana tuna deal na washamba wa ndege inabidi tujisfie kuhusu ndege wakat pembeni tunajiwekea malengo yetu ya maana.
 
Tena ligi yao ilisimama toka mwaka jana mwezi march,kibonde kamtoa bingwa wa Tanzania na aliyefika robo fainali ya klabu bingwa Afrika!!Inauma iyooo😂😂
 
Yanga hawakuwa na maumivu timu ilijulikana ilivyo.
Tatizo lenu mnatembelea historia,hata mlipojikwaa hajui,na hata mkiambiwa hamtaki kukubali licha ya kuelewa.


Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Simba haikubweteka, ndio mwisho wa uwezo wao ni ule tulioona jana.

Kwanza kocha wenu hatambuliki hana vyeti lakini bado mmemng'ang'ania tu, nyinyi ni wazima kichwani kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…