uto ndio mnauwezo mkubwa kuliko Sisi sio! Professor wenu kawafikisha wapi champions League.Simba haikubweteka, ndio mwisho wa uwezo wao ni ule tulioona jana.
Kwanza kocha wenu hatambuliki hana vyeti lakini bado mmemng'ang'ania tu, nyinyi ni wazima kichwani kweli?
Wenyu ndio nini?zerux2 wenyu si ndio anahusudu ndege. Nasie ndio tunatokea hapo hapo kwenye kupanda ndege maana tuna deal na washamba wa ndege inabidi tujisfie kuhusu ndege wakat pembeni tunajiwekea malengo yetu ya maana.
That's informal language dude.Wenyu ndio nini?
Ha ha ha watapigwa mpaka wachakae!Fahamu kuwa huko pia mtapigwa vibaya timu ime loose morali
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hivi wataanzia kwenye group stage au mtoanoMnyama asifanye ujinga huku anaweza kufika mbali zaidi.
Bila shaka Mazembe naye kaja huku
Wote waliotolewa hatua hii kwenye klabu bingwa, watacheza mtoano kisha atakayefuzu ataingia makundi shirikishoHivi wataanzia kwenye group stage au mtoano
Duh kazi ipoWote waliotolewa hatua hii kwenye klabu bingwa, watacheza mtoano kisha atakayefuzu ataingia makundi shirikisho
Ujana ni shida sana. Anyway, it's a transition.That's informal language dude.
Au utaniuliza "dude" ni nini.
Nikisema mnyama anaenda confederation cup utaniuliza "mnyama" ni nani!
uto bhana mnasumbua Sana. Au na hapa utaniuliza "bhana" nini, mzee wa BAKITA!
Sent from my Redmi 7A using JamiiForums mobile app
mi babako mdogo weUjana ni shida sana. Anyway, it's a transition.
Huyo asiyejua basi sio mfuatiliaji kwa sababu sio jambo jipya hata ndani ya ardhi ya Tanzania kwenyewe!!Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa.
mashabiki maandaz wapo wengi siku izi hawajuiagi chochoteHuyo asiyejua basi sio mfuatiliaji kwa sababu sio jambo jipya hata ndani ya ardhi ya Tanzania kwenyewe!!