Kwa watafutaji wa samaki sato, sangara dagaa wakavu na wabichi

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ”₯
 
Wakuu habari za saa hizi, Niwaambie GIZA limefunguliwa nipatieni kazi uwiiiii😭 niwatafutie dagaa WA kukaanga na samaki sato au Sangara
 
Dagaa wabichi wapo wengi wakuu karibuni mniagizeni
 
Na wakavu pia wapo, ukitaka nakukaangia nakusafirishia, Mimi Sina mtaji wewe ni ndo boss wangu
 
Wakuu bado nasubiria kazi mnipatie niwatafutie dagaa na samaki wawe wa kukaanga au wa kukaushwa wawe wa biashara au wa kula nipo Kanda ya ziwa nipeni kazi,πŸ™ Sina mtaji unatuma hela Mimi nakutafutia bidhaa muhimu uaminifu wakuu masai dada
 
Wakuu bado nasubiria kazi mnipatie niwatafutie dagaa na samaki wawe wa kukaanga au wa kukaushwa wawe wa biashara au wa kula nipo Kanda ya ziwa nipeni kazi,πŸ™ Sina mtaji unatuma hela Mimi nakutafutia bidhaa muhimu uaminifu wakuu
 
Wakuu bado nasubiria kazi mnipatie niwatafutie dagaa na samaki wawe wa kukaanga au wa kukaushwa wawe wa biashara au wa kula nipo Kanda ya ziwa nipeni kazi,πŸ™ Sina mtaji unatuma hela Mimi nakutafutia bidhaa muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…