Mkuu fursa siyo za kuacha zipite zikipita hazijitokezi teena. [emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Umechangamkia fursa
πππππππMkuu fursa siyo za kuacha zipite zikipita hazijitokezi teena. [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeua kabisa kakaπKijana wa Tz akinunua Brevis anaona dunia yote yake,tofauti na wenzetu
Mbona hata Mimi KALABASH naendaga sana hii ya hapa mwengeππMkuu Parabora mi nakualika Scotland na nakuahidi Ukija huku,stress free na nyumba ya kufikia na chakula chako chote during your stay,
Ila Mzee Mimi nakujirusha katika maisha yangu yote nimewahi mara moja Tu night club Scotland tena ilikuwa ni Kwa sababu maalum ndo mana nilienda,jamaa walikuwa wanafanya fund Raising ya charity ambayo nipo involved,
Ukifika huku ntakupa kila Aina support na list ya club zote na kama Una driving licence ya EU,na Gari pia ntakupa uzungukie night club zote mpka uchoke,
Hapa IPO Night club moja ya wakenya kama ulivyozungumzia hapo juu ukanimbusha unaitwa KALABASH,ndo huwa naskia vijana wengi wa ngozi zetu hizi wanajitumbukiza huko,Mimi sijawahi Tia mguu labda kupita Kwa nje Tu.
Wabongo walio wengi huwa wanapenda kwenda nje kujiripua kikimbizi na kutobolea njia hiyo na sio wengi sana ambao wanapenda kutumia route ya kusoma,nadhani hili linachagizwa zaidi na gharama ndefu za kuandaa masomo nje ya Nchi,
Karibu Sana Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uswisi walimu ndio wanaongoza kulipwa vizuri na kuthaminiwa zaidi ya kada nyingine lakini mtaala wa elim ya Tz na huku haviendani na hiyo ndiyo itakayokupa ugumu labda Kama unafundisha kiswahiliMkuuu Paraboa mimi na kadegree kangu ka ualimu naweza hitajika huko? Au ndoo sina thamani kama huku kwenye nchi za matakoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kijana wewe
π€£π€£ni kweli hizi pensheni zetu mikia ya sisimiziππMama huwa unanifurahishaga
Hata Mimi hiyo huwa ni mitaa yanguMbona hata Mimi KALABASH naendaga sana hii ya hapa mwengeππ
Ndiyo Old Woman. Hakikisha huniachi asee[emoji23][emoji23]Wewe kijana wewe