Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

Mkuu Parabora mi nakualika Scotland na nakuahidi Ukija huku,stress free na nyumba ya kufikia na chakula chako chote during your stay,

Ila Mzee Mimi nakujirusha katika maisha yangu yote nimewahi mara moja Tu night club Scotland tena ilikuwa ni Kwa sababu maalum ndo mana nilienda,jamaa walikuwa wanafanya fund Raising ya charity ambayo nipo involved,

Ukifika huku ntakupa kila Aina support na list ya club zote na kama Una driving licence ya EU,na Gari pia ntakupa uzungukie night club zote mpka uchoke,

Hapa IPO Night club moja ya wakenya kama ulivyozungumzia hapo juu ukanimbusha unaitwa KALABASH,ndo huwa naskia vijana wengi wa ngozi zetu hizi wanajitumbukiza huko,Mimi sijawahi Tia mguu labda kupita Kwa nje Tu.

Wabongo walio wengi huwa wanapenda kwenda nje kujiripua kikimbizi na kutobolea njia hiyo na sio wengi sana ambao wanapenda kutumia route ya kusoma,nadhani hili linachagizwa zaidi na gharama ndefu za kuandaa masomo nje ya Nchi,

Karibu Sana Mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata Mimi KALABASH naendaga sana hii ya hapa mwenge😃😃
 
Mkuuu Paraboa mimi na kadegree kangu ka ualimu naweza hitajika huko? Au ndoo sina thamani kama huku kwenye nchi za matakoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uswisi walimu ndio wanaongoza kulipwa vizuri na kuthaminiwa zaidi ya kada nyingine lakini mtaala wa elim ya Tz na huku haviendani na hiyo ndiyo itakayokupa ugumu labda Kama unafundisha kiswahili

Huku sekta ni sekta ya elimu ni sensitive sana na inathaminiwa mno
 
Wengine kufika tu daresilam ilikuwa kama bahati sana maana nimezaliwa kijijini ndani mnooo,sasa leo hii nije kitoboa sijui Belgium, it's real going to be unspeakable dream
 
Wengine kufika tu daresilam ilikuwa kama bahati sana maana nimezaliwa kijijini ndani mnooo,sasa leo hii nije kitoboa sijui Belgium, it's real going to be unspeakable dream
Mzee mbona hata sisi tumezaliwa huko vijijini
 
Back
Top Bottom