Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwanini?We jamaaa sio mtu mzuri kabisa
Visa hakuna upigaji...labda unachanganya na passportHauna connection ya huku Bongo kwa wanao shuhulikia Visa waminifu maana wapigaji wengi sanaa
Kabisa mkuuSafi sna ndugu yngu kwa kuwapa speed ndugu zetu kila kitu Nia juhudi binafsi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann hakuna,sa'bu si inayo tumika si pesa na wapigaji wana taka pesa,kwamm naona passport ni very simple kuipata na nime ipata hii mpya,Visa km ya Canada na nchi za Scandinavia ndio balaa labda za UAE na China lkn kwingine kume kua na wajuaji wengi sana,Mm hua naishia kusilikiza baada ya hapo naona bora niendelee kupambana SADEC ambapo sasahv hakuna fursa km zamani,Lkn nahitaji sana niingie Nordic Sweden au hata Canada lkn duh kichwa kunaumaVisa hakuna upigaji...labda unachanganya na passport
Sio upigaji mkuu ndo sera zao za immigration.Wengine ndo hivyo kama unaenda kuishi na kufanya kazi,kukupa Visa ni hadi uwe umepata kampuni ya kukuajiri huko,na kama kampuni hiyo inakudhamini na upande wa kupata Visa basi kuipata ni kugusa tu.Usisahau kuna charges mbalimbali pia throughout the process.Kuna nchi mfano Australia huwa zinatoa kabisa list ya occupation wanazohitaji kwao.Kama una nia ya kutafuta maisha na fani yako haipo miongoni mwa zilizolistiwa,nakuhakikishia huingii na kule hakuna mambo ya rushwa au cha juu.Nadhani yote haya ni kukufanya wewe usiende kubangaiza kule,kuhakikisha husumbui raia wao na vyombo vyao vya usalama.Kwann hakuna,sa'bu si inayo tumika si pesa na wapigaji wana taka pesa,kwamm naona passport ni very simple kuipata na nime ipata hii mpya,Visa km ya Canada na nchi za Scandinavia ndio balaa labda za UAE na China lkn kwingine kume kua na wajuaji wengi sana,Mm hua naishia kusilikiza baada ya hapo naona bora niendelee kupambana SADEC ambapo sasahv hakuna fursa km zamani,Lkn nahitaji sana niingie Nordic Sweden au hata Canada lkn duh kichwa kunauma
Mkuu Mayor Slum pitia hapa hili lilikuwa moja la hitaji lako majuzi
Umeeleza vizuri kakaSio upigaji mkuu ndo sera zao za immigration.Wengine ndo hivyo kama unaenda kuishi na kufanya kazi,kukupa Visa ni hadi uwe umepata kampuni ya kukuajiri huko,na kama kampuni hiyo inakudhamini na upande wa kupata Visa basi kuipata ni kugusa tu.Usisahau kuna charges mbalimbali pia throughout the process.Kuna nchi mfano Australia huwa zinatoa kabisa list ya occupation wanazohitaji kwao.Kama una nia ya kutafuta maisha na fani yako haipo miongoni mwa zilizolistiwa,nakuhakikishia huingii na kule hakuna mambo ya rushwa au cha juu.Nadhani yote haya ni kukufanya wewe usiende kubangaiza kule,kuhakikisha husumbui raia wao na vyombo vyao vya usalama.
Hata kama unaenda for vacation nadhani huwa wanacheki uwezo wako wa kiuchumi kujirizisha.Hii hata nchi za Scandinavia wanafanya.Na kama una ndugu au rafiki huko,watahakikisha kama yupo vizuri kiuchumi kuweza kukuhudumia wewe ndo wakuruhusu.Nadhani hii vijana ndo hupendelea kuitumia.Ukitimiza vigezo vyao,basi utapata Visa yako bila shida.
Kwa hiyo mkuu sanasana ni immigration policies za nchi husika na sio kubania kama baadhi wanavyodai.
Ahsante kaka na karibu piaShukurani Nyingi sana kwako Bro
Nimeweza kuelewa vizuri na kwa undani zaidi maisha , vitu kikubwa na mambo mengi mazurli kuhusu Ubeligiji na uswizi umeshaelezea
Issue kubwa nilikuwa najiuliza kuhusu TUNDU LISSU walivyomuhudumia pia issue ingine ni jinsi dereva wake alivyowezakupata chance hadi akaanza masomo huko huko Ubeligiji . Kwa yale yote uliyoyaelezea nimeweza kukonect dot na dot na kupata picha kubwa sana sana
Pia unaweza kufànya mazoezi humo humo ndani yanasaidia kutoa stress .
Stay positive in every situation bro
THIS TOO SHALL PASS
My Kind regards to bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani boss.Umeeleza vizuri kaka
Passport ni rahisi sana kuipata na pia unaweza kutoa hongo wakaharakisha mchakato tofauti na Visa mataifa mengi huwa makini sana kutoa mpaka wajiridhishe kwenye vigezo vyaoKwann hakuna,sa'bu si inayo tumika si pesa na wapigaji wana taka pesa,kwamm naona passport ni very simple kuipata na nime ipata hii mpya,Visa km ya Canada na nchi za Scandinavia ndio balaa labda za UAE na China lkn kwingine kume kua na wajuaji wengi sana,Mm hua naishia kusilikiza baada ya hapo naona bora niendelee kupambana SADEC ambapo sasahv hakuna fursa km zamani,Lkn nahitaji sana niingie Nordic Sweden au hata Canada lkn duh kichwa kunauma
Nyie mliopata fursa za kutangulia huko toeni miongozo mahususi kuwasaidia waafrika wenzenu conection za vyuo cheap,zenye course ambazo zinaweza kuwafanya Watanzania wanyonge ku afford,na wakifika huko wajilipue na fursa zilizopo huko na mwisho wa siku wa win.Ni rahisi kwa wazazi wengi kuwasupport watoto wao huko kwa masomo kwa vyuo ambavyo ni vya gharama nafuu.Mkuu Parabora mi nakualika Scotland na nakuahidi Ukija huku,stress free na nyumba ya kufikia na chakula chako chote during your stay,
Ila Mzee Mimi nakujirusha katika maisha yangu yote nimewahi mara moja Tu night club Scotland tena ilikuwa ni Kwa sababu maalum ndo mana nilienda,jamaa walikuwa wanafanya fund Raising ya charity ambayo nipo involved,
Ukifika huku ntakupa kila Aina support na list ya club zote na kama Una driving licence ya EU,na Gari pia ntakupa uzungukie night club zote mpka uchoke,
Hapa IPO Night club moja ya wakenya kama ulivyozungumzia hapo juu ukanimbusha unaitwa KALABASH,ndo huwa naskia vijana wengi wa ngozi zetu hizi wanajitumbukiza huko,Mimi sijawahi Tia mguu labda kupita Kwa nje Tu.
Wabongo walio wengi huwa wanapenda kwenda nje kujiripua kikimbizi na kutobolea njia hiyo na sio wengi sana ambao wanapenda kutumia route ya kusoma,nadhani hili linachagizwa zaidi na gharama ndefu za kuandaa masomo nje ya Nchi,
Karibu Sana Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi niliwaza Kama wewe nadhani ndio maana TUNDU LISU waliamua kumpeleka huko na ona huduma aliyopewa na maisha anayoishi huko inaonekana kweli huko watu ni wakarimu na wanaupendo sanaShukurani Nyingi sana kwako Bro
Nimeweza kuelewa vizuri na kwa undani zaidi maisha , vitu kikubwa na mambo mengi mazurli kuhusu Ubeligiji na uswizi umeshaelezea
Issue kubwa nilikuwa najiuliza kuhusu TUNDU LISSU walivyomuhudumia pia issue ingine ni jinsi dereva wake alivyowezakupata chance hadi akaanza masomo huko huko Ubeligiji . Kwa yale yote uliyoyaelezea nimeweza kukonect dot na dot na kupata picha kubwa sana sana
Pia unaweza kufànya mazoezi humo humo ndani yanasaidia kutoa stress .
Stay positive in every situation bro
THIS TOO SHALL PASS
My Kind regards to bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uzoefu na mfumo wa elimu wa huko nyumbani lakini nadhani kwa sheria mtakuwa mnasoma kwenda na mazingira ya huko nyumbani kitu ambacho ni tofauti na huku sheria imebeba mambo mengi ikiwemo ya kimataifa na kwa fani Kama hizo huku ni ngumu mno kupata kazi moja kwa moja.bandiko zuri kk na yote nayafatilia...kwa sisi km mwenye ki degree ka sheria kwa huko mchongo naona ni mgumu labda kufundisha kiswahili labda kwa jinsi uonavyo ebu tupe mazingira ya uzoefu kwa mtu kuja kufanya icho kitu huko na kufanya ilo zoezi km taasisi au wasemaje #@parabora
HOT