Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Binafsi nakuunga mkono..nilijua watu wa hip hop wako namna hii....amchek prof Jay au FA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF-Expert MemberMtoa post we wivu unakusumbua! Kuwa kwako mke mdogo wa kihongosi isikufanye umchukie sugu! Uvccm mna wivu sana
Masikini na ( Life Failures ) wakiongozwa na Mimi GENTAMYCINE na Matola ( Mleta Mada ) huwa tuna Wivu sana kwa wale Waliofanikiwa Kimaisha kuliko Sisi.Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.
Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.
Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kuku peleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.
Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.
Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.
Nimemaliza.
Erythrocyte
Nikuambie nipo jf since 2012! Nipo kijana hivi wa md pale muhas we mmakua hii ni id yangu mpya kenge weJF-Expert Member
Joined Mar 29, 2021
Kama kuna mtu aliumia Sugu kudhurumiwa ubunge basi ni pamoja na Mimi.Masikini huwa tuna Wivu sana kwa wale Waliofanikiwa Kimaisha kuliko Sisi.
Sugu nipo pamoja nawe endelea tu Kuturingishia huo Utajiri wako kwani kuna wengine nao wakiwa hapa JamiiForums huwa Wanatutambia na Kutudharau akina GENTAMYCINE kutokana na Umasikini Wetu na Utajiri wao wa Kusadikika.
Yaani leo unaumia kwa Sugu kutambia Utajiri wake na Mafanikio yake ila Wewe unasahau kuwa Kutwa uwapo hapa JamiiForums huwa Unamringishia Utajiri wako wa Kusadikika GENTAMYCINE na hata Kumdharau ( Kunidharau ) kwa Umasikini wangu.
Kumbe huwa inauma? Kudadadeki!
kwani Tulia mpaka sasa kuna kitu amefanya mbeyaSugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.
Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.
Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kuku peleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.
Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.
Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.
Nimemaliza.
Erythrocyte
Kwahiyo unataka kusema kuwa hata Rais wa Yanga SC ( Klabu yako Unayoishabikia ) Injinia Hersi Said nae baada ya miaka Minne ijayo akija kuwaombeni tena Kura wana Yanga SC hamtompa kwakuwa amewadhalilisheni kwa kuwaita Wala Mihogo wa Chanika akimaanisha kuwa ni Masikini wa Kutupwa?Kama kuna mtu aliumia Sugu kudhurumiwa ubunge basi ni pamoja na Mimi.
Anayekuchukia hawezi kukwambia ukweli hata siku moja, atakuacha uharibikiwe.
Sugu napenda arudi mjengoni, asipojirekebisha anapigwa uwanjani mchana kweupe kwa kura halali.
Dr Mwakyembe aliulizwa swali la kuudhi tu na mjinga mjinga mmoja, jibu lake tu lilitosha wapiga kura kumnyoosha.
Sasa wewe mrefu na mwereve unakerwa na tambo za miwani ya laki 7 ? Ndiyo kusema wewe mwenye akili huna akiba ya kukuwezesha kununua miwani ya laki 7 ?Ni kweli amenizidi ufupi na ujinga.
Hebu anayekumbuka ile mistali ya Sugu ashushe hapa, nime imisi sana ile bongo fleva yake ya miaka ile