Kariobangi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2022
- 480
- 435
Hivi zile zilikuwa zake au za kakake? Kipindi Cha the storm na deiwaka.Wakati wa kuchipukia kwenye usanii alikuwa anajiita MR Two. Kuna wakati akawa anakaa Tegeta karibu na bahari beach. Akaleta ubishoo wa 'visit my crib' kuringishia vitu na nyumba ya kaka yake. Wasela walipiga hodi. Bonda sana, kwapuwa kila kitu. Kwanini MR Two asihame! 😁😂🤣😃😄😅
Sasa analeta hizi za fadhila za wapiga kura na mikopo CRDB!
Haya yetu macho twaona hajajifunza.....