data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
π ππ πππ―π―π―hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π ππ πππ―π―π―hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.
Kwani Rais mwenyewe anajitambua??Sugu anajitambua Hadi Rais anamjua ndo maana kampa Mtaa.
Acha chuki Mkuu Mama yupo anafanya Kazi vizuri Sana nchi imetuliaKwani Rais mwenyewe anajitambua??
Au anasaidiwa kujitambu?
Angekuwa anajitambua angekubali kuendeshwa kwa Remote?
Kama Samia angekuwa anajitambua,angekubali kupelekeshwa na Makamba?
Punguza hasira.Ni kweli amenizidi ufupi na ujinga.
Hapana mkuuUna maana ya kusoma Kama Baharesa na utajiri wake!!??
Bro Urais una Siri nzito sana,unaweza kuja na mawazo yako na yakagonga Mwamba,na ukibisha Urais unaukosa kwa njia yoyote ile, tusihukumu, anything is possible!!!Kwani Rais mwenyewe anajitambua??
Au anasaidiwa kujitambu?
Angekuwa anajitambua angekubali kuendeshwa kwa Remote?
Kama Samia angekuwa anajitambua,angekubali kupelekeshwa na Makamba?
So una grab kwa vitu huna influence navyo kama height, You're such an idiot, Sugu ana flex that he makes way more money than you do [emoji38]Ni kweli amenizidi ufupi na ujinga.
Hapana hajamponda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Matola ni masikini anaemuinea wivu tajiri Sugu
Unauliza tena! ?Sawa, nikupe page ya Nas uone endorsement anazopost? Nchi anazozunguka Kwa nini hatusemi ni limbukeni?
Yale yale ya Roberto Carlos kuwatambia waBrazili kuwa anavaa nyumba mkononi. Hapo akizungumzia gharama ya saa yake.Nachotambua ni kwamba:-
1.Usiongelee utajiri mbele ya masikini.
2.Usiongelee watoto mbele ya wagumba.
3.Usiongelee ulivyojaaliwa na Mungu mbele ya wasiojaaliwa.
Hivi vitu vinatengeneza chuki.
Matola you have a point.
Teh teh Brazil ukijigamba,wageni lazima waje wakutembeleYale yale ya Roberto Carlos kuwatambia waBrazili kuwa anavaa nyumba mkononi. Hapo akizungumzia gharama ya saa yake.
Kitendo cha post yako kupata likes zote hizo, tafsiri yake ni kuwa ume post kwa niaba ya watu wengi sana tulio na ujumbe wako huu vichwani mwetu.Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.
Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.
Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.
Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.
Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.
Nimemaliza.
Erythrocyte
Ndio ile akaimba Sugu Sasa namiliki bunduki? Kumbe makachaa wameshamfanyia ubandidu.Wakati wa kuchipukia kwenye usanii alikuwa anajiita MR Two. Kuna wakati akawa anakaa Tegeta karibu na bahari beach. Akaleta ubishoo wa 'visit my crib' kuringishia vitu na nyumba ya kaka yake. Wasela walipiga hodi. Bonda sana, kwapuwa kila kitu. Kwanini MR Two asihame! πππ€£πππ
Sasa analeta hizi za fadhila za wapiga kura na mikopo CRDB!
Haya yetu macho twaona hajajifunza.....