Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

Masikini na ( Life Failures ) wakiongozwa na Mimi GENTAMYCINE na Matola ( Mleta Mada ) huwa tuna Wivu sana kwa wale Waliofanikiwa Kimaisha kuliko Sisi.

Sugu nipo pamoja nawe endelea tu Kuturingishia huo Utajiri wako kwani kuna wengine nao wakiwa hapa JamiiForums huwa Wanatutambia na Kutudharau akina GENTAMYCINE kutokana na Umasikini Wetu na Utajiri wao wa Kusadikika.

Yaani leo unaumia kwa Sugu kutambia Utajiri wake na Mafanikio yake ila Wewe unasahau kuwa Kutwa uwapo hapa JamiiForums huwa Unamringishia Utajiri wako wa Kusadikika GENTAMYCINE na hata Kumdharau ( Kunidharau ) kwa Umasikini wangu.

Kumbe huwa inauma? Kudadadeki!!
We bwana mdogo, hata kuoa hujaoa(nimesoma mada yako unataka kuoa baada ya balehe).
Ubishoo wa mwenzenu Sugu ndo ulimfunga bila kosa gerezani.
 
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.

Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.

Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.

Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.

Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.

Nimemaliza.

Erythrocyte
We Mhaya acha umbea
 
Ukishaamuwa kuwa state man, basi lazima kuna Uhuru wako ukubali kuupoteza kutunza reputation yako.

Diamond leo akichaguliwa kuwa mbunge hawezi kuendelea kuvaa vile vikaptula vyake, tusitee upuuzi.

Jose ni mwanangu sana tu, nimetumia platform hii kumkumbusha swagger anazokwenda nazo siyo.

Kuwa kiongozi kwenye jamii ya watu maskini inahitajika busara sana, wachache ndio wanaweza kunielewa nini namaanisha.
Mwanangu nmekusoma

Ova
 
Attachments

  • 1666442509591.png
    1666442509591.png
    86.4 KB · Views: 7
Nachotambua ni kwamba:-

1.Usiongelee utajiri mbele ya masikini.
2.Usiongelee watoto mbele ya wagumba.
3.Usiongelee ulivyojaaliwa na Mungu mbele ya wasiojaaliwa.

Hivi vitu vinatengeneza chuki.

Matola you have a point.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe matola ni masikini anaemuonea wivu Sugu
 
Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.
Hivi hao maskini wa jimbo hilo linalohusika, wanayo ahueni yoyote na huyo aliyepo sasa?
 
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.

Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.

Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.

Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.

Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.

Nimemaliza.

Erythrocyte
Muziki wa kufokafoka ni sawa na mashairi ya majigambo.Majigambo ni kujisifu,kukarahisha wengine na kupenda kuwa mbele.Sugu anauishi muziki wake.Tatizo linakuja kwako weye unayemsikiliza na kumtafsiri.Usipate shida sana na mtindo wake wa maisha.Utajitesa bure.
 
Halafu usisahau kuna mitihani ya maradhi duniani, watu watashangaa wakiambiwa wamchangie matibabu millionaire.
 
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.

Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.

Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.

Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.

Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.

Nimemaliza.

Erythrocyte
Waafrica tulilaniwa kama Bara? Au kama ncho? Huwezi kuta huu ujinga Asia, Eurpo au Ameruca, Yeue yale si maisha yake? Kutwa nzima kufuatilia life la wenzako? Waagrica tuna upuuzi mwingi sana
 
Back
Top Bottom