Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

kwani Tulia mpaka sasa kuna kitu amefanya mbeya
Mimi siongelei hiyo takataka Tulia, huyo hakuchaguliwa na watu wa Mbeya, ni mbunge wa shetani Magufuli, hata asipofanya lolote hana deni.

Mimi namuongelea Sugu, kuna vitu muhimu anakosea haviendani na umri wetu, hayo mambo Sasa hivi tuwaachie Watoto wanaobalehe.
 
Uzi wa ajabu sana huu, kama wewe unamuona Sugu mbaya kwa kuwaringishia wengine utajiri wake mitandaoni, mimi namuona ana wa-inspire vijana tupambane ili tufikie pale alipofika yeye.
 
Sasa wewe mrefu na mwereve unakerwa na tambo za miwani ya laki 7 ? Ndiyo kusema wewe mwenye akili huna akiba ya kukuwezesha kununua miwani ya laki 7 ?

Usikute unajiona una akili kumbe una wazimu. Nenda kapime Milembe
Kama kawaida yenu makamanda kupulizia pafyumu kinyesi.
 
Nahsi hayuko sawa Kuta kitu anapush ...Sugu ana heshima sana kila kona ila anapoenda sio fresh angefanya harmorapa isingekuwa ishu kubwa sana..ila mchzi ana utoto fulani hii ni tabia kama ya vunjabei nae kwanza nayo.
Vunjabei still ni chalii kiumri, hawezi compare na Sugu hata kwa life experiences. Sugu is a real Gangsta that made it from the gutter wakati vunjabei ni toto la kishizo amekuta mifumo tayari akatambaa na chaki tu and has a good brain as well.

But kwa Sugu kumake it to the top hatakiwi ku floss kipuuzi kama anavyofanya. Ni utoto mno
 
Uzi wa ajabu sana huu, kama wewe unamuona Sugu mbaya kwa kuwaringishia wengine utajiri wake mitandaoni, mimi namuona ana wa-inspire vijana tupambane ili tufikie pale alipofika yeye.
Wakati mwingine ni kweli, mtu akikutambishia mautajiri yake moyo unauma ila baadaye unatulia na kuanza kupambana na asilimia nyingi tu wengi wa watu wapambanaji huwa wanafanikiwa zaidi ya huyo mtambaji.
 
Sugu AKA 2proud original bongofleva mzee wa mistali, first time loooong fukkkkcccnn time nilimwona Bilicanas miaka ile nikiwa bongo, humu tusije tukawa tunabishana na watoto waliozaliwa 90's or 2000,s maana hamuwezi kumuelewa sugu......hivi wale jamaa waliopiga kukuru kakara wako wapi siku hizi
 
Mimi siongelei hiyo takataka Tulia, huyo hakuchaguliwa na watu wa Mbeya, ni mbunge wa shetani Magufuli, hata asipofanya lolote hana deni.

Mimi namuongelea Sugu, kuna vitu muhimu anakosea haviendani na umri wetu, hayo mambo Sasa hivi tuwaachie Watoto wanaobalehe.
Haviendani umri upi?
Wewe kama umri umeenda uache matusi kule kwenye jukwaa la michezo
 
Mimi siongelei hiyo takataka Tulia, huyo hakuchaguliwa na watu wa Mbeya, ni mbunge wa shetani Magufuli, hata asipofanya lolote hana deni.

Mimi namuongelea Sugu, kuna vitu muhimu anakosea haviendani na umri wetu, hayo mambo Sasa hivi tuwaachie Watoto wanaobalehe.
Wwe chuki yako dhidi ya Mwendazake ndiyo inakutesa sana hadi unaweweseka na vitu vidogo Kama miwani ya laki Saba aliyopigwa Sugu na Wazungu!!
 
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.

Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.

Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.

Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.

Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.

Nimemaliza.

Erythrocyte
mbona hata wewe unaweza kumwambia?mbona sugu anajichanganya sana na watu si umfuate pale hotelini mbeya ukamwambie?
 
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.

Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.

Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.

Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.

Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.

Nimemaliza.

Erythrocyte
Kuna watu wa hivyo, MTU kapambana kivyake moaka mafanikio yake Leo unampangia jinsi ya kuishi, pambana na umaskini wako naw wewe unyanyuke kimaisha
 
Sugu AKA 2proud original bongofleva mzee wa mistali, first time loooong fukkkkcccnn time nilimwona Bilicanas miaka ile nikiwa bongo, humu tusije tukawa tunabishana na watoto waliozaliwa 90's or 2000,s maana hamuwezi kumuelewa sugu......hivi wale jamaa waliopiga kukuru kakara wako wapi siku hizi
Wale mmoja ana ulemavu wa mguu sijui?
 
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata Diamond akigombea Ubunge anashinda saa 2 asubuhi tu Kwa base ya mashabiki aliyonayo.

Sasa ushauri wangu ni huu, Sugu una miaka 50, lakini bado unaishi maisha ya wanaobalehe kuandika post za tambo kila siku kwenye social networks ili kuonesha ulimwengu kwamba wewe ni tajiri na umeshafanikiwa.

Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.

Acha hizi tabia za kitoto Mara moja, jikite kwenye kutoa misaada kwa Watoto yatima na wenye uhitaji, hizo ndio tambo za states Man na siyo kutambia Miwani ya laki saba.

Badirika Sasa, hizi tambo za kitoto za Kibongo fleva waachie kina Ommy Dimpoz.

Nimemaliza.

Erythrocyte
Kama wivu ungekuwa ni mtu basi ungeitwa Matola
 
Hizo huwa ni hulka binafsi, kuna matajiri unaweza kukutana nao usiamini........yaani anaweza akawa yupo sehemu na wasaidizi wake yeye ndo akawa anaonekana yuko very humble and simple in appearance kuliko machawa......
 
Back
Top Bottom