Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

We bwana mdogo, hata kuoa hujaoa(nimesoma mada yako unataka kuoa baada ya balehe).
Ubishoo wa mwenzenu Sugu ndo ulimfunga bila kosa gerezani.
 
We Mhaya acha umbea
 
Mwanangu nmekusoma

Ova
 
Nachotambua ni kwamba:-

1.Usiongelee utajiri mbele ya masikini.
2.Usiongelee watoto mbele ya wagumba.
3.Usiongelee ulivyojaaliwa na Mungu mbele ya wasiojaaliwa.

Hivi vitu vinatengeneza chuki.

Matola you have a point.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe matola ni masikini anaemuonea wivu Sugu
 
Sasa Sugu hujui Watanzania wengi ni maskini, unawalingishia utajili halafu 2025 unataka maskini waendelee kukutajilisha Kukupeleka bungeni, aisee ndio utajuwa hujui.
Hivi hao maskini wa jimbo hilo linalohusika, wanayo ahueni yoyote na huyo aliyepo sasa?
 
Muziki wa kufokafoka ni sawa na mashairi ya majigambo.Majigambo ni kujisifu,kukarahisha wengine na kupenda kuwa mbele.Sugu anauishi muziki wake.Tatizo linakuja kwako weye unayemsikiliza na kumtafsiri.Usipate shida sana na mtindo wake wa maisha.Utajitesa bure.
 
Halafu usisahau kuna mitihani ya maradhi duniani, watu watashangaa wakiambiwa wamchangie matibabu millionaire.
 
Waafrica tulilaniwa kama Bara? Au kama ncho? Huwezi kuta huu ujinga Asia, Eurpo au Ameruca, Yeue yale si maisha yake? Kutwa nzima kufuatilia life la wenzako? Waagrica tuna upuuzi mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…