Wapo wa design hiyo na huwa wanakua wazima tu. Anaweza akakua hivyo hivyo had utu uzima. Au inawezekana baada ya muda nyingine ikatokea piaMmh sijawahi kusikia hii kitu anaweza kuwa na kasoro huyo..ulemavu wa korodani
Ah ah ah ah ah hakuna kinacho shindikana kwa MunguOk ila hiyo moja inawezekana ikawa super heavy duty
Nafikiri kwa uelewa Wangu ni kumwepusha mtoto na magonjwa ya kifua kama nimonia....Wadau wanajukwaa... Nauliza hivi, kuna manesi au baadhi ya watu wanawazuia wamama wasiwaogeshe watoto wao siku ya kuzaliwa au siku chache baada ya kuzaliwa, bali wawa sponge walau kwa siku 3 hivi.
Hivi kwa joto lililopo Dar inawezekana kweli? Nini logic ya hili? Wataalamu wa afya tunaomba ufafanuzi
Nafikiri kwa uelewa Wangu ni kumwepusha mtoto na magonjwa ya kifua kama nimonia....
Wanahofia maji baridi pengine na unyevunyevu na bacteria pia...mimi nafanya guesswork tuu lakiniMmmh, kumuogesha mtoto ni suala la usafi. Je nimonia inakujaje?
Evelyn Salt, Lizzy, gfsonwin kuja huku.
Hili jambo niliwahi ambiwa na mzazi wangu kuwa tulikutolea sadaka ndo maana unasema unabahati. Kiukweli nw naanza kuelewa.Wala huhitaji kugombana na mtu kama mtoto yuko salama nitakuja na post yake!nywele za watoto hutumiwa na washirikina kwenda kufanya yao kwa wengine ila huelekezwa ni nywele za aina gani na za mtoto wa aina gani zinafaa !!!cha muhimu ni kumkabidhi mtoto mbele za mikono ya Mungu bila kusahau ibada zaka na matoleo
Vile vile unaweza ukachagua siku moja ya ibada ya imani yako ukamtolea Mungu sadaka maalum kwa ajili ya mtoto
charminglady sio kweli kwamba kumuogesha tu mtoto kunaweza kumsababishia magonjwa ya kifua. Wangu wa kwanza alioga the next day maana alizaliwa usiku na wa pili alioga siku ya tatu nilivyorudi tu nyumbani na hamna kati yao ambae amewahi kuumwa kifua. Nadhani ni imani tu kama vile wengine wanavyolazimisha watoto wagubikwe manguo kibao wakati hali ya hewa hairuhusu.Mmmh, kumuogesha mtoto ni suala la usafi. Je nimonia inakujaje?
Evelyn Salt, Lizzy, gfsonwin kuja huku.
charminglady sio kweli kwamba kumuogesha tu mtoto kunaweza kumsababishia magonjwa ya kifua. Wangu wa kwanza alioga the next day maana alizaliwa usiku na wa pili alioga siku ya tatu nilivyorudi tu nyumbani na hamna kati yao ambae amewahi kuumwa kifua. Nadhani ni imani tu kama vile wengine wanavyolazimisha watoto wagubikwe manguo kibao wakati hali ya hewa hairuhusu.
Kitu cha kuzingatia ni temp. ya maji ili mtoto asiwe unconfortable, kuhakikisha amekaushwa vizuri na kumvalisha nguo kiasi kuendana na hali ya hewa.
Mmmh, kumuogesha mtoto ni suala la usafi. Je nimonia inakujaje?
Evelyn Salt, Lizzy, gfsonwin kuja huku.
Maadam nakusoma hapo ujue sijaelewa.....wa kwanza na wa pili lol haya mamito........ni kweli hata mie wangu nilimwogesha baada ya siku 3 niliporudi home lakini inaogopesha jinsi mdogo unakuwa unaogopa kumwangusha au kumkwarua na kitu
Nafikiri kwa uhakika si kumwogesha kwa maana halisi ya kumwogesha kwakuwa bado kako so tiny na hakana uchafu wowote wa kivileKuwa mzito yaani kutokufanya haraka wakati wakumwogesha kipindi hicho anakuwa anapulizwa na upepo basi inapelekea kupata shida kifua ndio maana wanaona washauri hivyo
Umegusia engo moja muhimu sana lakini kuna wazazi huzaa watoto wasio na tatizo kabisa lakini mzazi akaja kumsababishia mtoto ulemavu au tatizo lingine loloteKuhusu kupata watoto wenye mahitaji maalumu:Katika mpango wa Mungu wa kupata watoto wakati mngine familia hupokea watoto wenye ulemavu wa ngozi,wasiiona,wenye ulemavu wa viungo nk mara nyingi hili jambo huleta maswali,maumivu,hofu ,kukataaa na hata kukata tamaa ukweli unabaki kuwa ndiye mtoto tuliyempokea na ni muhimu muhudumu aliyetoa huduma atoe taarifa mapema ili wazazi wafahamu na waendelee kukubaliana na hali hiyo, ulemavu mngine huchukua muda kujulikana ni vizuri wazazi baada ya kujifungua tujitahidi kuwachunguza watoto wetu wakati wa kuwaogesha ,kuwavalisha na kuwa nao ili kuweza kufahamu miili ya watoto wetu kuna vitu vingine vikipata uangalizi wa daktari mapema vinarekebishika na yale ambayo hayawezekane tunapata nafasi ya kuwaona wataalamu mapema na hakika watatuelekeza namna nzuri ya kuwapokea kuwapenda na kuwatunza watoto wenye hali hizo na kuendelea kumshukuru Mungu kwa zawadi ya watoto anazotupatia
Kwa ushauri wangu binafsi jaribu tiba ya kitunguu saumu...kiponde kisha mpake kwenye nyayo viganjani tumboni na kwenye paji la usoMtoto wa wangu ananisumbua tangia juzi ameanza kulia yaan analia mpaka anageuza macho, nimempeleka hospital wamemchekI wanasema hana tatizo lolote, kiukwelI napata wakat mgumu sana hasa mama ake. Yaani siku nzima analia anaweza kuacha kulia mda flan tuu na hataki umlaZe kitandani, anataka abebwe mikononi mda wote.
Ni mtoto ambae ametimiza mwezi mmoja tuu, naombeni mnisaidie wenye uzoefu na hali hii.