Asante mkuu ngoja nijaribu nione maana hatulali kabisa na mchana nikumbeba tuu.Kwa ushauri wangu binafsi jaribu tiba ya kitunguu saumu...kiponde kisha mpake kwenye nyayo viganjani tumboni na kwenye paji la uso
Choo anapata vizur tuu, ngoja tuangalie suala la nguo na maombi kwasababu nimpeleka hospital zaidi ya mbilI wanasema mtoto hana tatizo. Asante kwa ushauri.Anapata choo vizuri?akila unamtoa gesi vizuri chunguza kwa makini na fanya marekebisho kwa kuhakikisha anashiba angalia kama nawe unakula vya kutosha ili utoe maziwa ya kutosha ashibe mtoe gesi na mpunguzie nguo pia maombi kwa mtoto ni muhimu muombee
Usiwaze ndugu..Samahani hapo nilijua mama ndio kapost nikasema mama mtoto kama nimekosea nisamehe
Nafikiri kwa uhakika si kumwogesha kwa maana halisi ya kumwogesha kwakuwa bado kako so tiny na hakana uchafu wowote wa kivile
Labda tukubaliane tu kuwa ni kukamwagia maji ya vuguvugu na kukafutafuta
Mtoto wa wangu ananisumbua tangia juzi ameanza kulia yaan analia mpaka anageuza macho, nimempeleka hospital wamemchekI wanasema hana tatizo lolote, kiukwelI napata wakat mgumu sana hasa mama ake. Yaani siku nzima analia anaweza kuacha kulia mda flan tuu na hataki umlaZe kitandani, anataka abebwe mikononi mda wote.
Ni mtoto ambae ametimiza mwezi mmoja tuu, naombeni mnisaidie wenye uzoefu na hali hii.
Maadam nakusoma hapo ujue sijaelewa.....wa kwanza na wa pili lol haya mamito........ni kweli hata mie wangu nilimwogesha baada ya siku 3 niliporudi home lakini inaogopesha jinsi mdogo unakuwa unaogopa kumwangusha au kumkwarua na kitu
Haahahha, mkweee. . . .
Nimeshaongezaga namba 2. Yani ukimshindwa W unamrudisha tu nakupa mwingine. LOLZZZZZ
Maziwa ya ng'ombe kwa mtoto mdogo si mazuri sana humletea mtoto gesi na kuvimbiwa
Tiba yake ninini kwenye hili?huyo mwenye lactose intorelance anakuwa na upungufu wa kimengenya kiitwacho lactase.
Kwenye maziwa kirutubisho kisicho rafiki kwa mtoto ni protein, maziwa ya ngombe yana kiwango cha juu zaidi. Ndo maana product zote za maziwa kwa mtoto alie na umri wowote angali ameanza kula anaweza tumia, ispokuwa maziwa yenyewe, na tatizo hasa ni kiwango cha juu zaid cha protein
Anapata choo vizuri?akila unamtoa gesi vizuri chunguza kwa makini na fanya marekebisho kwa kuhakikisha anashiba angalia kama nawe unakula vya kutosha ili utoe maziwa ya kutosha ashibe mtoe gesi na mpunguzie nguo pia maombi kwa mtoto ni muhimu muombee