Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

Habali za masiku humu ndani. Naja tena kunachangamoto imemkuta mwanangu wa Mwaka Mmoja na Miezi minne. Ametoka utando mweupe kama maziwa ziwa kwenye ulimi, Mashavu na mpaka mdomoni. Nani mwenye kujua tiba yake
 
Habali za masiku humu ndani. Naja tena kunachangamoto imemkuta mwanangu wa Mwaka Mmoja na Miezi minne. Ametoka utando mweupe kama maziwa ziwa kwenye ulimi, Mashavu na mpaka mdomoni. Nani mwenye kujua tiba yake
Check na daktari bingwa hayo ni maambukizi.. Sorry for late reply
 
Makuzi ya mtoto kiakili
Makuzi ya mtoto kimwili
Makuzi ya mtoto kimaadili

Naamini tuna wataalam wengi kwenye hizo nyanja ambao watakuja na mada zenye kujenga na kuelimishana.
NI kweli kabisa, waje wataalam watupe maelekezo.
 
Habari za masiku wandugu hivi mtoto akiacha ziwa anakuwa analia lia hovyo alafu hataki kubembelezwa yani anakuwa mwenye hasila kali au kuna mambo mengine yanaendelea
 
Za siku nyingi anko, naomba kuuliza dawa nzuri ya kikohozi kwa mtoto anae kalibia kufunga mwaka mana anakohoa mpaka anatapika. Dawa nilizotumia MUCOLYN, ZEN COFFEE, PRINATRIM, hata kama kuna mtu anajua dawa za kienyeji anijuze.
Hii hali imemtokea mwanangu....naomba kujua dawa yake maana anakohoa balaa
 
Vyema naomba tuwasiliane, 0653 794796.kwa ajili ya malezi ya watoto.Asante.
 
Msaada wenu

Watoto wa mtaa wetu nyumba kama 20 wanafungiwa magetini, bila shaka hii ni kutokana na matukio kadhaa ya ulawiti na kumomonyoka maadili na wavuta bangi waliozagaa mtaani.

Msaada.
Kwa kuwa watoto wasipo changamana hukosa mambo mengi muhmambayo wangeshare pamoja nifanye nn watoto wangu wasikose jambo hili muhm katika umri utotoni
 
Hili jambo ni gumu lenye kuhitaji tafakuri jadidi nitarejea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niongezee hapa, kwamba masuala mengi yanaendelea katika jamii moja wapo ni aina ya wazazi.

Si.wazaz wote wanaupendo, sijui zamani lkn pia naona chocolate kimewazidi wazaz pamoja na hali ngum ya maisha
 
Naombeni ushauli . Nina mtoto anaekalibia kufunga miaka miwili.. Usiku hua anasumbua sana yaani analia lia hovyo na tabia kainza kama mwezi hivi na anakuwa na hasila kali hataki mtu yoyote amshike iwe mimi baba yake au mama yake. Je atakuwa anasumbuliwa na ndoto mbaya ? Ama nimakuzi tu ya mtoto
 
Wakati wa kwenda kulala chukua Kijino kimoja cha chumvi ya mawe changanya kwenye beseni la maji ya vuguvugu kisha muogeshe usimfute mwache yakaukie mwilini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…