Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Ni biskuti nzuri toka katika kampuni ya bakemate inayoitwa Kreme-E! Imetengenezwa na kuwa Imported from India.
Taste yake ni ya pekee ikiwa katika flavors mbili tofauti:
1.Chocolate
2.Orange
Ina ujazo na ladha nzuri zaidi compared na ambazo ziko madukani kama Royal, Cremelo na zinginezo, 82g per packet
Packaging iko kwenye box la khaki ambalo linabeba packets 24 ndani!
Nauza bei ya jumla Tsh.9000 kwa box. Hivyo nakukaribisha kama mdau wa ujasiriamali aidha una duka, supermarket au hata matumizi tu ya binafsi naweza kukuletea popote mjini!
Biskuti iko ya kutosha na mie ndio sole distributor. Check mi kwa biashara.