raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Yap net profit inachezea hapoKuna mtu nimezungumza naye jioni hii kuhusu hilo, amenambia roughly anapata faida ya shilingi 50 kwa kila lita 1.
Yeye ni dealer wa biashara hii pia
Inaonekana ndogo ila ni ww ukiwa eneo zuri ukiwa na uwezo wa kupush ltr 50k au 100k kwa mwezi mambo yanakuwa si haba