Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

Wewe bro uliyeanzisha uzi naomba ama nakuomba mno uzingatie huu ushauri wa huyu jamaa ikiwezekana utengenezewe frame Kama picha hapo sebuleni na chumbani mpaka chooni yaani kila mahala uwe unaona. Please mie Sina uenyeji wa hii biashara Ila nakushauri ili tu. Our life is being constructed with our beliefs. We believe then we see and we don't see then believe.Our beliefs are script writers of our thinking in our background then we act according to them.
Mie nimemaliza kila la heri. Uwe bilionaire uajiri watanzania wengi vijana
Amen Mkuu, nitazingatia hilo
 
Hii anacheza na soko Bei fluctuations. Ni sawa ukiwa kwenye nafaka unajua mwaka huu zitakuwa juu labda mvua sio nyingi. So ukiwemo unajua your own game. Mfano Russia Ukraine war mafuta yamepanda ila saivi yanarudi yalipokuwepo
Ni sahihi mkuu

Ingawaje huwa ni risk iwapo mambo yameenda ndivyo sivyo
 
Location ,location narudia Tena location + manager mzoefu namna ya kupata wateja biashara hii kwa Sasa imeanza kua na ushindani but I assure you the market share iko vizuri,,ukikamilisha nitafute nikutafutie meneja mkali wa hizi kazi mzee wa fitna kwenye soko akufanyie hata mwaka mmoja aendelee na mambo yake
Kumtumia Meneja Mzoefu ina maana nijipange na mshahara Mkubwa kwake sio?

Wacha nijipange nalo pia, walau akae miezi 6 tu
 
Kwanini watu husema kuna fedha wakati faida ikizidi sana ni 300?
Na ili mtu apate milioni 300 inabidi auze lita milioni 1?
 
Ooh.............Jamaa wanaweza hata kunikopesha mzigo nikitoa 1/2 ya gharama ya mzigo pia?
tungewasiliana fresh mtandaoni sipo vizuri koz naingia mtandaoni pale tu nikipata nafasi ninaweza kushauri na kupeana mawazo then tutaangalia namna ya kufanya
 
Nimeuliza kuomba ufafanuzi, kama inaweza kulipa naweza kuanza na hii pia kwa kuzungukia kwenye maeneo ya Migodi na viwanda nikawa nawapelekea hata kwa Mkopo then watakuwa wanamilipa kwa installments
so far ni issue ambayo itakuwa legalized soon kwa sababu ya hata za kimazingira na ajira pia na ukizingatia mifumuko ya bei lazima serikali wataruhusu karibuni hats kama si serikali hata mashirika ya nje ya mazingira
 
Shukrani Mkuu, nitafanyia kazi hili
usafiri wa mafuta kwa mbeya mjini yaweza ikawa 110-140Tsh kwa litre this means kama ni fuso yenye tank ya litre 15000 ukiagiza maana yake chukua price let's say 110 tsh kwa litre so what u need is just multiply 15000x110 unapata gharama za usafir sasa kwa hapo maana yake 165000tsh kwa usafiri sasa tunakuja katika uhalisia je mmliki gani wa truck hata iwe fuso tandem atakubali aje mbeya kwa hio bei wakati hio fuso ratio yake ya mafuta ya kusafirisha huo mzigo ni litre 330 ambazo kwa sasa ukichukua gharama ya saiz ya dizel mfano dar tufanye inauzwa 3000 ukichukua 3000x330 ili upate gharama ya usafiri wa hii fuso utapata 990000 ambayao katika ile pesa utayomlipa mwwnye gari itambakia 1650000-990000 anabakiwa roughly approximately 700000tsh ikumbukwe kuwa hizi gari za mafuta zikishashusha mzigo zinageuka tupu kwa hio huyu mwenye hii gari inatakiwa tena atafute mafuta ya kuirudisha hii gari dar au tanga au mtwara ikapaki kijiweni kutafuta kazi ingine sasa Fanya hii gari ikatumia litre 250 kurudi dar ambazo kwa bei ya wastan itamgharimu 250x3000 ambayo ni sawa na 750,000tsh sasa katika ile laki saba iliyombakia inamaana huyu mwenye hii gari kapata tayari hasara hapo hajalipa dereva wala emergency yoyote pindi anapokuwa safarini KWA HIO JAMAANI TUTOE MAONI NA USHAURI LAKIN KAMA PIA HUNA UJUZI NA HAYA MAMBO UNAWEZA UKASHIRIKI KWA KUJIPATIA USHAURI NA ELIMU YA BURE.Nadhani umejifunza kwa nini wafanyaji biashara wa mikoani au wa kimataifa wanatumia semi trailer truck kufanya usafirishaji wa cargo yetu mafuta ukitumia kipisi au fuso kwa mkoani ni hasara kimaumbile kipisi na horse za semi trailer mtu anaweza sema kipisi ni nafuu lakin kiuhalisia ni hasara coz engine za hizi gari ni kama zinaendana hazina utofauti mkubwa sana lakin zinatofautiana kiasi cha ubebaji mzigo
 
Faida kwenye mafuta sidhan kama inazidi shng 100
BIashara hii ina pesa kutegemea na eneo uliopo
faida zina range humo humo kaka coz mfano kwa bei zetu za hapa mbeya tofauti ya bei ya depot na bei ya kuuzia haizidi 260tsh ukitoa usafiri kama ni 130 ujue unabakiwa na 130tsh lakini hio bado si faida koz kuna rent(gharama za maboresho ya ofisi),mishahara ya wafanya kazi umeme,maji ikumbukwe kuwa ile VAT nayo ipo hapo ko faida kama faida yaweza ikawa maybe tsh 50 ndio maana tunasema hii ni biashara ya watu wenye nidhamu
 
Yap
Kuna dogo alikuwa msimamizi kwenye kituo kimoja cha mafuta
Alisema akitoa gharama zote boss anabakiwa na shs 30 kwa ltr
 
Kuna mtu nimezungumza naye jioni hii kuhusu hilo, amenambia roughly anapata faida ya shilingi 50 kwa kila lita 1.

Yeye ni dealer wa biashara hii pia
 
faida zina range humo humo kaka coz mfano kwa bei zetu za hapa mbeya tofauti ya bei ya depot na bei ya kuuzia haizidi 260tsh ukitoa usafiri kama ni 130 ujue unabakiwa na 130tsh lakini hio bado si faida koz kuna rent(gharama za maboresho ya ofisi),mishahara ya wafanya kazi umeme,maji ikumbukwe kuwa ile VAT nayo ipo hapo ko faida kama faida yaweza ikawa maybe tsh 50 ndio maana tunasema hii ni biashara ya watu wenye nidhamu
Wacha tujaribu kufanya hii biashara then nitaleta mrejesho
 
Shukrani kwa ushauri wako Mkuu, nitazingatia.

Na vipi ishu ya faida, naweza kurejesha gharama zangu baada ya miaka mingapi wastani?

Kuna kituo kimoja nimekiona Dodoma, jamaa wanauza mafuta kwa gharama ya chini kiasi cha kama shilingi 50 - 78 pungufu ya vituo vingine kwa lita moja.

Inawezekana hao jamaa wanaagiza wenyewe nje ya Nchi?
Dodoma,sehemu gani?
 
usafiri wa mafuta kwa mbeya mjini yaweza ikawa 110-140Tsh kwa litre this means kama ni fuso yenye tank ya litre 15000 ukiagiza maana yake chukua price let's say 110 tsh kwa litre so what u need is just multiply 15000x110 unapata gharama za usafir sasa kwa hapo maana yake 165000tsh kwa usafiri sasa tunakuja katika uhalisia je mmliki gani wa truck hata iwe fuso tandem atakubali aje mbeya kwa hio bei wakati hio fuso ratio yake ya mafuta ya kusafirisha huo mzigo ni litre 330 ambazo kwa sasa ukichukua gharama ya saiz ya dizel mfano dar tufanye inauzwa 3000 ukichukua 3000x330 ili upate gharama ya usafiri wa hii fuso utapata 990000 ambayao katika ile pesa utayomlipa mwwnye gari itambakia 1650000-990000 anabakiwa roughly approximately 700000tsh ikumbukwe kuwa hizi gari za mafuta zikishashusha mzigo zinageuka tupu kwa hio huyu mwenye hii gari inatakiwa tena atafute mafuta ya kuirudisha hii gari dar au tanga au mtwara ikapaki kijiweni kutafuta kazi ingine sasa Fanya hii gari ikatumia litre 250 kurudi dar ambazo kwa bei ya wastan itamgharimu 250x3000 ambayo ni sawa na 750,000tsh sasa katika ile laki saba iliyombakia inamaana huyu mwenye hii gari kapata tayari hasara hapo hajalipa dereva wala emergency yoyote pindi anapokuwa safarini KWA HIO JAMAANI TUTOE MAONI NA USHAURI LAKIN KAMA PIA HUNA UJUZI NA HAYA MAMBO UNAWEZA UKASHIRIKI KWA KUJIPATIA USHAURI NA ELIMU YA BURE.Nadhani umejifunza kwa nini wafanyaji biashara wa mikoani au wa kimataifa wanatumia semi trailer truck kufanya usafirishaji wa cargo yetu mafuta ukitumia kipisi au fuso kwa mkoani ni hasara kimaumbile kipisi na horse za semi trailer mtu anaweza sema kipisi ni nafuu lakin kiuhalisia ni hasara coz engine za hizi gari ni kama zinaendana hazina utofauti mkubwa sana lakin zinatofautiana kiasi cha ubebaji mzigo
Nitafanyia kazi suala la usafiri kuhusisha na kiasi cha mafuta.

Kuna mtu ameshauri niongeze storage tank
 
Back
Top Bottom