Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

Sahihi kabisa, ingawa ule utaratibu wa mwenye uwezo kuagiza mafuta mwenyewe huenda ingepunguza sana gharama kwa walaji na wafanyabiashara wangepata faida maradufu
kuagiza mafuta nje sio time friend habit,some restriction maana ukiagiza mwenyewe utaagiza mzigo mchache kwa gharama kubwa za usafiri na huwez kwenda na muda
 
Sahihi kabisa, ingawa ule utaratibu wa mwenye uwezo kuagiza mafuta mwenyewe huenda ingepunguza sana gharama kwa walaji na wafanyabiashara wangepata faida maradufu
kuna opportunity huwa zinatokea mfano bei ya mafuta huwa inabadilika kila j5 ya kwanza ya mwezi sasa wamiliki wa vituo huwa wanatafuta kujua mapema kwamba bei itapanda au itaahuka kama itapanda yeye anaagiza mzigo mkubwa ili awe na stock kubwa ya mafuta alionunua at very cheap price anaza bei kubwa na pia inasaidia kupunguza hasara pale muuzaji anapogundua bei mpya ya mwezi ujao itashuka maaana yake anatakiwa aagize mzigo kwa taadhari
 
Zipo gari za kukodi ndogo zina hadi lita 1500 sio lazima kuchukua kipisi.
@Showmax unafell what if jamaa akaotea eneo lenye mzunguko mkali Fanya hilo eneo kwa siku anauza PMS 2000-3000ltr kwa siku na maybe litre 600 za AGO we huoni itampa ugumu katika uagizaji wa mzigo koz it is possible kuwa atatakiwa awe anaagiza Mara 1 kwa wiki kwa petrol ambapo diesel anaagiza Mara 1.3 hivi kihesabu kama atatumia mpango wake sasa huoni kuwa atakuwa ktka gharama za usafiri and so far najua kuna mobile tanker ndogo za litre chini ya 5000 kwa gari kana canter na Isuzu lakin sijawahi ona kipis cha scania iwe mende,iwe single diff au kipisi cha kawaida af vip unazifahamu engine za truck hakuna mtu anaeweza kutumia gari kubwa kusafirishia mzigo mdogo gmv za fuso tandem na vipisi vya scania ni kama zinaendana Ila naishia kuona kama fuso INA tanker ya maji nimeona mbeya hapa Shell moja hapo maghorofani ndo wana fuso tandem lakin inaonekana hujui kwa nn wanaogopa kufanya hivo kibiashara ni hasara
 
acha mawazo mgando unaweza ukajikwamisha ukishililia wazo la kusema unakiwanja mind that unaweza ukawa nacho na bado usikitumie au bwana Grahams aww huenda unafell biashara hii haitaki mawazo kama yako umefenya utafiti mara ngapi mpaka umejiridhisha kuwa hilo eneo lipo shwari
Mkuu nipo haka kujifunza na kupokea mawazo tofauti.

Mara nyingi biashara hii naona inafanyika maeneo yalipo na barabara kuu.

Plot yangu ipo barabarani kabisa, yaani mita 100 kutoka barabara Kuu. Ndiyo maana nilidhani kwa nafasi hiyo ingenisaidia kwenye kufanikisha lengo.

Hata hivyo naendelea kukusanya maoni kwa watu kama ninyi wenye uzoefu na hii biashara
 
hili ndo wazo sasa koz bei ya simple cruide oil refinary plant nahisi zipo chini nilicheki siku moja kwenye website made in China
Nimeuliza kuomba ufafanuzi, kama inaweza kulipa naweza kuanza na hii pia kwa kuzungukia kwenye maeneo ya Migodi na viwanda nikawa nawapelekea hata kwa Mkopo then watakuwa wanamilipa kwa installments
 
kuna opportunity huwa zinatokea mfano bei ya mafuta huwa inabadilika kila j5 ya kwanza ya mwezi sasa wamiliki wa vituo huwa wanatafuta kujua mapema kwamba bei itapanda au itaahuka kama itapanda yeye anaagiza mzigo mkubwa ili awe na stock kubwa ya mafuta alionunua at very cheap price anaza bei kubwa na pia inasaidia kupunguza hasara pale muuzaji anapogundua bei mpya ya mwezi ujao itashuka maaana yake anatakiwa aagize mzigo kwa taadhari
Kumbe kuna uwezekano ma supply wakawa wanacheza na Ewura katika kutengeneza faida sio?
 
kuagiza mafuta nje sio time friend habit,some restriction maana ukiagiza mwenyewe utaagiza mzigo mchache kwa gharama kubwa za usafiri na huwez kwenda na muda
Okay, kwahiyo ni vyema kuendelea kuwatumia mawakala wa Serikali kuagiza mzigo badala ya kuagiza mwenyewe?
 
You is what you think. Anza Mdogo mdogo ili kupata uzoefu then milango itafunguka
Wewe bro uliyeanzisha uzi naomba ama nakuomba mno uzingatie huu ushauri wa huyu jamaa ikiwezekana utengenezewe frame Kama picha hapo sebuleni na chumbani mpaka chooni yaani kila mahala uwe unaona. Please mie Sina uenyeji wa hii biashara Ila nakushauri ili tu. Our life is being constructed with our beliefs. We believe then we see and we don't see then believe.Our beliefs are script writers of our thinking in our background then we act according to them.
Mie nimemaliza kila la heri. Uwe bilionaire uajiri watanzania wengi vijana
 
kuna opportunity huwa zinatokea mfano bei ya mafuta huwa inabadilika kila j5 ya kwanza ya mwezi sasa wamiliki wa vituo huwa wanatafuta kujua mapema kwamba bei itapanda au itaahuka kama itapanda yeye anaagiza mzigo mkubwa ili awe na stock kubwa ya mafuta alionunua at very cheap price anaza bei kubwa na pia inasaidia kupunguza hasara pale muuzaji anapogundua bei mpya ya mwezi ujao itashuka maaana yake anatakiwa aagize mzigo kwa taadhari
Hii anacheza na soko Bei fluctuations. Ni sawa ukiwa kwenye nafaka unajua mwaka huu zitakuwa juu labda mvua sio nyingi. So ukiwemo unajua your own game. Mfano Russia Ukraine war mafuta yamepanda ila saivi yanarudi yalipokuwepo
 
Location ,location narudia Tena location + manager mzoefu namna ya kupata wateja biashara hii kwa Sasa imeanza kua na ushindani but I assure you the market share iko vizuri,,ukikamilisha nitafute nikutafutie meneja mkali wa hizi kazi mzee wa fitna kwenye soko akufanyie hata mwaka mmoja aendelee na mambo yake
 
Back
Top Bottom