Bangida
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 2,406
- 11,258
Kwa ishu kama hii wanakua wachoyo tu.Wengi waliofanikiwa hawapendagi kuweka mambo hadharani
Maana hatujuani vzur lakn tukifanya hesabu ndogo, je 50% ya watu walioko JF wana mitaji mikubwa kias hiki?
Also, kila kona kuna vituo na wote wanapata faida, hakuna monopoly kama ilivo tanesco, so shida iko wap wakitema madini?
Kwa mfano huyu jamaa akifanikiwa kufungua kituo chake, kwan atakula faida ya mwingine?
Wabongo sisi wabinafsi sana sometimes