Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

Kuna mtu nimezungumza naye jioni hii kuhusu hilo, amenambia roughly anapata faida ya shilingi 50 kwa kila lita 1.

Yeye ni dealer wa biashara hii pia
Yap net profit inachezea hapo
Inaonekana ndogo ila ni ww ukiwa eneo zuri ukiwa na uwezo wa kupush ltr 50k au 100k kwa mwezi mambo yanakuwa si haba
 
Yap net profit inachezea hapo
Inaonekana ndogo ila ni ww ukiwa eneo zuri ukiwa na uwezo wa kupush ltr 50k au 100k kwa mwezi mambo yanakuwa si haba
Ni kweli, nikifanikiwa hapo manake nitakuwa na uwezo wa kuingiza zaidi ya milioni 5 hadi 7 faida kwa mwezi
 
so far ni issue ambayo itakuwa legalized soon kwa sababu ya hata za kimazingira na ajira pia na ukizingatia mifumuko ya bei lazima serikali wataruhusu karibuni hats kama si serikali hata mashirika ya nje ya mazingira
Nitajaribu kupata taarifa sahihi kuhusu hiyo biashara Mkuu, kama italipa vizuri naweza kujaribu kuifanya
 
Big up sana broo.
 
Hongera sana mpambanaji mwenzangu.
 
Nitajaribu kupata taarifa sahihi kuhusu hiyo biashara Mkuu, kama italipa vizuri naweza kujaribu kuifanya
tafuta mobile tank yenye pump yake kila kitu hapo nakushauri iwe canter ukiipata kama upo mbeya tafuta mtu atayekujumlishia mafuta mfano petrol Africa then tafuta kijij cha karibu ambacho kina mzunguko uzia hapo mafuta yako Fanya saving yako safi baada ya miaka 2 utajenga petrol station ukiwa tayari unaujuzi timamu wa nn unaenda kukifanya
View attachment 2515278
 
Sio ku kuvunja moyo, bali anakuchana ukweli. Na ukweli una uma.

Kuna baba yangu mdogo alikopa mkopo banki wa millioni 500 ili afanye hiyo kitu nadhani mradi ulienda vizuri maana mpaka sasa ana vituo viwili.
Duh

Mkuu unanivunja moyo boss
 
Grahams naona umekazania plot yako kuwa barabarani kinoma. Kiwanja kinaweza kuwa barabarani sehemu ambayo watu hawasimami ni kazi Bure. Mfano unaweka sheli mbele kidogo ya Mikumi nani atasimama wakati kasimama Mikumi au atasimama Moro? Eneo kuwa barabarani shouldn't be the only deciding factor, there's more to it. Kuna incentive gani nyingine ya watu kusimama hapo? Eneo lipo kwenye mji au sehemu iliyochangamka?

From my understanding, margins za hii biashara ni ndogo sana kama duka la rejareja tu, aidha watu wengi wanatumia hii biashara kufanya money laundering. Owners wengi wa sheli hapo ndo wanapopiga pesa kuanzia depot Hadi site ni ulaghai mwanzo mwisho.

Nipo around mazee.
 
Ni wazo zuri Ila nashauri;
1. Jenga filling station simple , Kwa sasa nje ya mji inalipa zaidi
2. Ukiwa na kituo unaweza kupata mafuta on credit
3. Kwa mtaji kama huo unaweza ukaanza biashara hii Kwa njia ya dealership...Yaani unapewa kituo ukiendeshe Kwa makubaliano maalum
Karibu TANPETRO Kwa maelezo zaidi 0657981381
 
Sio ku kuvunja moyo, bali anakuchana ukweli. Na ukweli una uma.

Kuna baba yangu mdogo alikopa mkopo banki wa millioni 500 ili afanye hiyo kitu nadhani mradi ulienda vizuri maana mpaka sasa ana vituo viwili.
Nadhani hapo ni ishu ya usimamizi, kuna mdau hapo juu amesema ataniunganishia kwa Meneja wake mzoefu, ambaye nadhani anaweza kunisaidia walau miezi 6 ya mwanzo nikiwa natafuta uzoefu wa biashara
 
Shukrani sana Mkuu, nitakutafufa kwa hiyo namba yako
 
Nafanyia kazi ushauri wako Mkuu, kama location haitakuwa nzuri ni kweli naweza kupoteza mtaji wangu bure
 
Shukrani sana Mkuu kwa hii knowledge yako, nitafanyia kazi ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…