Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Ahhh!! I can't entartain none sense nitamfyekelea mbali!
Sasa kama ndio hivyo kiherehere gani kimekufanya ulete mada jukwaani kwanini usimfyekelee mbali kimya kimya bila kufanya matangazo hapa au unataka uonekane na wewe unaweza ku afford kua na mfanyakazi wa ndani shame on you na inaonekana unampa manyanyaso ila hapa una play victim.
 
Wadada wengine wapo vizuri sana pana mmoja nilimpata alimkuza mtoto kama mdogo wake na alikua na upendo kweli kwa watoto sema ninyi wamama mnawafokea sana hawa wadada mpaka wanakosa amani wachukulieni kama ndugu zenu maana ndio anakaa na watoto wako muda mrefu na ukiweza mnunulie hata zawadi na pia isiwepo tofauti kubwa kati yenu na yeye hata muonekano unakuta mtu mdada kavaa nguo alizotoka nazo kijijini wakati yupo kwako zaidi ya mwaka na ni kazi kazi hana hata muda wa kupumzika kama yupo China..
 
Mkuu unafikiri wanasoma comment yako basi, wana liugomvi lao hapa la kitoto
 
Mkuu Mimi sijawahi mfokea halafu hjafikish hata week ingekuwa amefikisha hata mwez afadhari...Sasa hata Kama wanawake ni wafokaji siwez mfokea ilihali ni mgeni
 
Let her be uwa siitaji kuleta mtu Kwa kazi za nyumbani ni heli uwe na mradi au duka dogo awe anaingiza pesa hizo Kaz za nyumbani ni extra ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…