Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
elewaneni kashakuomba msamaha lakiniMwambie anakoelekea nitamwashia moto aikimbie I’d yake kama sio kunireport kwa Mod nipigwe ban,.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
elewaneni kashakuomba msamaha lakiniMwambie anakoelekea nitamwashia moto aikimbie I’d yake kama sio kunireport kwa Mod nipigwe ban,.
Mpuuzi mmoja tu huyu,. Mbona nilimwomba msamaha zamani na nikatulia,. Bado anawashwa nini??elewaneni kashakuomba msamaha lakini
Sasa kama ndio hivyo kiherehere gani kimekufanya ulete mada jukwaani kwanini usimfyekelee mbali kimya kimya bila kufanya matangazo hapa au unataka uonekane na wewe unaweza ku afford kua na mfanyakazi wa ndani shame on you na inaonekana unampa manyanyaso ila hapa una play victim.Ahhh!! I can't entartain none sense nitamfyekelea mbali!
Mkuu unafikiri wanasoma comment yako basi, wana liugomvi lao hapa la kitotoWadada wengine wapo vizuri sana pana mmoja nilimpata alimkuza mtoto kama mdogo wake na alikua na upendo kweli kwa watoto sema ninyi wamama mnawafokea sana hawa wadada mpaka wanakosa amani wachukulieni kama ndugu zenu maana ndio anakaa na watoto wako muda mrefu na ukiweza mnunulie hata zawadi na pia isiwepo tofauti kubwa kati yenu na yeye hata muonekano unakuta mtu mdada kavaa nguo alizotoka nazo kijijini wakati yupo kwako zaidi ya mwaka na ni kazi kazi hana hata muda wa kupumzika kama yupo China..
Weka Account namba chap ukapumzike,. Huyu niachie mimiKwaherini, jioni mnilipe hata ya soda nimewapigania sana nyie viumbe
Mkuu Mimi sijawahi mfokea halafu hjafikish hata week ingekuwa amefikisha hata mwez afadhari...Sasa hata Kama wanawake ni wafokaji siwez mfokea ilihali ni mgeniWadada wengine wapo vizuri sana pana mmoja nilimpata alimkuza mtoto kama mdogo wake na alikua na upendo kweli kwa watoto sema ninyi wamama mnawafokea sana hawa wadada mpaka wanakosa amani wachukulieni kama ndugu zenu maana ndio anakaa na watoto wako muda mrefu na ukiweza mnunulie hata zawadi na pia isiwepo tofauti kubwa kati yenu na yeye hata muonekano unakuta mtu mdada kavaa nguo alizotoka nazo kijijini wakati yupo kwako zaidi ya mwaka na ni kazi kazi hana hata muda wa kupumzika kama yupo China..
Umeishiwa maneno kijana,. Umekula kwanza?? Kama bado nenda ule halafu uje tena labda utakua na mpyaJilete wewe Niki file maana hata MFi raji Huwa anafi ra term hii nataka mkyundu wako
Sio yeye huyo, wenge limekuzidi😂Wewe humu ndani ushaishiwa swaga,. Yaani saizi ufanye tu utulie upunge kwanza upepo kwa mda,.
Ya ulimwengu yanakuelemea
Majina yanafananaWewe humu ndani ushaishiwa swaga,. Yaani saizi ufanye tu utulie upunge kwanza upepo kwa mda,.
Ya ulimwengu yanakuelemea
Ni yeye niamini mimi😬Sio yeye huyo, wenge limekuzidi😂