Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kumbe nyamwi kingdom ina maadui wa kutosha ๐Hii id yako nyingine we kima!
Dishi bovu. Signal hazisomi.Dr Restart dada ako ana mambo sana, ongea na shemeji ako amtulize.
๐Yaani nyamwi na ban ๐น๐น๐น
Kila nikiingia kuchangia uzi wako lazima nikute washakupeleka segerea.!!
Bro nini kimetokea?? Mbona OP katupwa korokoroni ๐น๐น๐นLabda hajapata huo mkuno
Na ushakula ban nakupataje sasa๐ญ๐ญ๐ญWeka Account namba chap ukapumzike,. Huyu niachie mimi
Apostle nini kimetokea ๐น๐นKwaherini, jioni mnilipe hata ya soda nimewapigania sana nyie viumbe
Jirani jamani nini hiki tena??Bado umerudi tena๐๐๐๐
Ilikuwaje mpk wakala ban? ๐น๐น
Kasome kwenye thread ipo nimefunguaIlikuwaje mpk wakala ban? ๐น๐น
Najua basiiiii mi nlikua napika huko ๐น๐น๐นBro nini kimetokea?? Mbona OP katupwa korokoroni ๐น๐น๐น
Ngoja niangalie marudio naweza nikajua shido nino ๐น๐นNajua basiiiii mi nlikua napika huko ๐น๐น๐น