Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ila unawachezesha mods ngoma hadi raha........
Hadi hapa viuno vya mods hoi.
Hadi hapa viuno vya mods hoi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nyamwi kingdom ina maadui wa kutosha 😂Hii id yako nyingine we kima!
Dishi bovu. Signal hazisomi.Dr Restart dada ako ana mambo sana, ongea na shemeji ako amtulize.
😂Yaani nyamwi na ban 😹😹😹
Kila nikiingia kuchangia uzi wako lazima nikute washakupeleka segerea.!!
Bro nini kimetokea?? Mbona OP katupwa korokoroni 😹😹😹Labda hajapata huo mkuno
Na ushakula ban nakupataje sasa😭😭😭Weka Account namba chap ukapumzike,. Huyu niachie mimi
Apostle nini kimetokea 😹😹Kwaherini, jioni mnilipe hata ya soda nimewapigania sana nyie viumbe
Jirani jamani nini hiki tena??Bado umerudi tena😂😂😂😂
Ilikuwaje mpk wakala ban? 😹😹
Kasome kwenye thread ipo nimefunguaIlikuwaje mpk wakala ban? 😹😹
Najua basiiiii mi nlikua napika huko 😹😹😹Bro nini kimetokea?? Mbona OP katupwa korokoroni 😹😹😹
Ngoja niangalie marudio naweza nikajua shido nino 😹😹Najua basiiiii mi nlikua napika huko 😹😹😹