Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Juzi kuna mschana wa kazi mdogo tu kajinyonga. Kisa kugombezwa lkn sio na boss wake ila na mamaake anampigia simu kazn aliko anamharass. Kajitoa uhai maskn. Km hy keshaanza mambo hayo mrudishe tu isije ikawa shida zaidi
 
mfukuze aende huyoni wa moja havai mbili katu wakikaaga kwa watu astaarabu wanaletaga mshindo sana na majinuni ndo mana wanakulaga makofi kwa wahindi ila utashangaa anakoteswa ananyenyekea na anakaa miaka kenda mpakie basi la kwanz akesho arudei ilembula akale parachichi
 
Dah na kweli! namimi nazidi sana kumnyenyekea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…