Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeahbora uchukue wakubwa, nikimaanisha wenye umri 25+ huko,
rika balehe unakaa nae kama mfanyakazi, na kama mtoto, unamlea
atakununia, atakuchukia nk si unajua teenagers?
Kazi yake kubwa ni kumtunza na kumuhudumia mumeo wakati wewe umeamka na kuwasha data yeye anawasha moto...😊I have no idea what is next!!
Tafuta taratibu TU utapata. usiwe na haraka.Kuwapata ndo Mtihani!
Dah na kweli! namimi nazidi sana kumnyenyekea!mfukuze aende huyoni wa moja havai mbili katu wakikaaga kwa watu astaarabu wanaletaga mshindo sana na majinuni ndo mana wanakulaga makofi kwa wahindi ila utashangaa anakoteswa ananyenyekea na anakaa miaka kenda mpakie basi la kwanz akesho arudei ilembula akale parachichi
Baba mwenye nyumba atakuwa anambembeleza.Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Anamtka mumeo.Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa!
Niishi nae vipi huyu dada cha kununa nuna!!!?
Mvumilie huenda labda hajazoea mazingira hivyo kumbukumbu zakwao bado ziko kichwani chamsingi ishinaye vizuri asijefanya kisasiNdo anune nune na kulia!!! Kwanini asichekee!!!?
Kuna Dada mmoja alinambia yeye katoka kijijini anakuja kufanya kazi za ndani maisha yamemchapa sana huko Rural. Sasa anashangaa na Kwa Bosi wake tena kuna njaa maisha ya kuunga unga hakumaliza mwezi.Hapana! sidhani!