Kwa wenye wasaidizi wa kazi majumbani (house girl), mnaishi nao vipi?

Tunaishi nao kama dada zetu, kuna wakati naweza nisimpigie mama watoto, ila nitampigia dada wa kazi na kumuuliza kinachoendelea n.k, mwisho wa siku naye anajiona ni sehemu ya familia; pia kumpa uhuru ni muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…