Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Starehe ipi ni mpya kwangu?Ahahahahhahahahaa nimecheka kwa sauti hapa ...
Sasa mkuu unajua kuna mambo hayana umri hasa haya ya starehe ety...
Hapo unakua unazingua mkuu serious an
Ahahahahahah ukute ni miongonu mwa wazee wa hovyo humu...Starehe ipi ni mpya kwangu?
Kama mauchi nimeyaona hadi mengine nayaota ndotoni..
Kijana omba upate afya njema na uwe na pesa...))
Kwamba unataka kusemaje binti kigori??Mm na wewe nani anakurupuka!!? Lol...
Endelea kutuburudisha mkuu!!Hahahaha
Kama zipi??,. Au nimepiga panapoumaNataka nikwambie avoid unnecessary meddling.
Naomba uje PM mara 1Naam
Mara 1 kidogo tuNaomba uje PM mara 1
Pole mwaya nilikua napita tu nikukanyage kidogo,..Basi unafikir nna muda wa kujibizana na ww! Toa ya moyoni mwako then chapa lapa.