BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai.
Kuna mihogo ukila baada ya dakika kadhaa unajikuta ukihisi njaa kali kama vile umekaa siku nzima bila kula hofu yangu isije kuwa hiyo mihogo ndio yenye sumu inatumaliza taratibu.
Kuna mihogo ukila baada ya dakika kadhaa unajikuta ukihisi njaa kali kama vile umekaa siku nzima bila kula hofu yangu isije kuwa hiyo mihogo ndio yenye sumu inatumaliza taratibu.