BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kumbe inaleta hamu ya kula!Safi kabisa.Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai.
Kuna mihogo ukila baada ya dakika kadhaa unajikuta ukihisi njaa kali kama vile umekaa siku nzima bila kula hofu yangu isije kuwa hiyo mihogo ndio yenye sumu inatumaliza taratibu.
Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai.
Kuna mihogo ukila baada ya dakika kadhaa unajikuta ukihisi njaa kali kama vile umekaa siku nzima bila kula hofu yangu isije kuwa hiyo mihogo ndio yenye sumu inatumaliza taratibu.
Mkuu minyoo Ina react kwenye mihogo tu? Mbona vyakula vingine inakuwa safiJaribu kucheki Minyoo kwanza boss, huwa inaleta njaa na umekula.
Mkuu, huenda inachagua chakula kama paka wa baa. Ukimtupia kipande cha ugali wenye mchuzi hali anataka samaki tu.Mkuu minyoo Ina react kwenye mihogo tu? Mbona vyakula vingine inakuwa safi
Ni utafiti au ni kitu gani hiki!!!
Ukila muhogo na pilipili nyingi lazima baada ya muda mfupi usikie njaa kali.Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai.
Kuna mihogo ukila baada ya dakika kadhaa unajikuta ukihisi njaa kali kama vile umekaa siku nzima bila kula hofu yangu isije kuwa hiyo mihogo ndio yenye sumu inatumaliza taratibu.
Kwa nn mkuu?Ukila muhogo na pilipili nyingi lazima baada ya muda mfupi usikie njaa kali.
Pilipili ina imarisha au inasaidia/inahamasisha, inachochea kasi(enhance) usagaji wa chakula tumboni (digestion). Mihogo ni kati ya vyakula laini (soft food) vinavyosagika tumboni haraka. Kwa mantiki hiyo ukichanganya mihogo tena na pilipili utakuwa umelisaidi sana tumbo lako kukamilisha zoezi-kazi ya usagaji wa chakula(mihogo) mapema sana na utasikia njaa mapema kuliko ulivyozoea.Kwa nn mkuu?
Yes exactly. Vyakula vinavyotoka mashambani ndani ya nchi ni mara chache sana kuwa ni hatarishi kwa Afya za walaji labda walaji wanaweza kudhurika kwa kula vyakula vilivyo haribika e.g. Uwepo wa sumu kuvu(Aflatoxins) au madawa ya kukuza mimea (fertilizers), madawa ya kuhifadhi mazao ghalani (preservatives) au madawa ya kutibu na kuzuia magonjwa (Drugs) hususan pale ambapo wakulima/na wafugaji hawazingatii muda unaotakiwa upite ili mazao hayo yaweze kutumika kama chakula kwa binadamu.Sidhani kama TFDA wanafatilia vyakula vinavyouzwa kutoka mashambani ,wao wamejikita zaidi vya viwandani na vinavyoingia nchini.