Kwa wingu Kubwa na huu Upepo Mkali wa sasa Dar es Salaam nahisi muda wowote koki inafunguliwa na tujiandae tena kwa Maafa

Kwa wingu Kubwa na huu Upepo Mkali wa sasa Dar es Salaam nahisi muda wowote koki inafunguliwa na tujiandae tena kwa Maafa

hapanaga mvua kubwa baada ya upepo.
Inaweza isinyeshe kabisa au ikanyesha rasharasha tu....
Sio mara zote mkuu,hii ya kwako huwa inatokea kama ilikuwa haijanyesha muda mrefu,lkn kama ilisimamam tu siku mbili inaweza ikanyesha kubwa na upepo wake...
 
Acha kuwacheka wenzako!! Nshakwambia ukiona upepo mkali, joto kali, mvua kubwa au hali ya hewa yeyote inayokufanya usiwe comfortable share location uje huku flow ya 19 uone jiji linavotepeta maji
Nikitoka kazini nahamia kwako😂😂sirudi nyumbani kabisa
 
Back
Top Bottom